Dakika 3 za nyongeza
Arsenal wanafanya mabadiliko, anaingia Coquelin anatoka Gervinho
Sijakuelewa Kamanda..........Ooops sub ilikuwa ya Podolski .... ...
Tetesi kuna jamaa walikuwa wananyatia kutia timu hapa baada ya mechi nasikia wameunyuti khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nakubaliana nawe kabisa....leo nilikuwa restless kama Mkuu Oxlade lol!...bora draw kuliko kupoteza mechi.
Yaap. Mpira wetu uko poa, tunaitaji kutuliza akili mbele na tuongeze madongo ya mbali. Mambo ya kutaka kutembea na mpira mpaka ndani ya nyavu noma.
Tuna mchapo mwingine mkali J'pili ijayo na Chelsea na kwa maoni yangu tunastahili kushinda mechi hiyo.
Once a Gooner.....Always a GoonerThere are currently 35 users browsing this thread. (23 members and 12 guests)
- Wacha1,
- paulss,
- Konya,
- Balantanda+,
- Katavi,
- Questt,
- Nyaluhusa87,
- Kunta Kinte,
- kashengo,
- GIUSEPE,
- Oxlade-Chamberlain,
- Richard,
- Companero,
- ARUSHA01,
- Rejao+,
- MpigaFilimbi,
- Kweli,
- dri ma,
- Viper,
- Mentor
Wenzetu huwa wanakimbia Gunners always there ... .... Hongereni wakuu wote wa Gunners Mancs wameponea tundu la sindano Gervino leo katuangusha kidogo .... .... ngoja waje Emirates shenz typu.
Mkuu, nikukumbushe tu, mechi na Chelsea ni Jumamosi ijayo saa 12:45 mchana BST.
Hongereni the Gooners.