Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Guyz game yetu ya arsenal vs man city na man u vs liver zinachezwa saa ngapi?
Loserfools Vs Manyu wanaanza saa 9:30 kwa saa za Afrika mashariki na Gunners kule Etihad saa 12:00 jioni.
Guyz game yetu ya arsenal vs man city na man u vs liver zinachezwa saa ngapi?
Loserfools Vs Manyu wanaanza saa 9:30 kwa saa za Afrika mashariki na Gunners kule Etihad saa 12:00 jioni.
Ivi kweli nyie majirani mnatarajia kumfunga man shitty??! Naona mtu akijinyonga leo...
Kila la heri vijana leo naamini tunatoka na pointi zote tatu.
Mechi ya giroud hii
:biggrin1: nilikua nasubiri tu comment zenu... jamani nimeitoa tu kwa stevie howard comments zake..that's all
Stevie Howard na gazeti lao la SUN hawaipendi Arsenal hiyo inajulikana.
Huna cha kufanya??? Naona kila siku unaweka kambi kwenye hii thread yetu! Yaelekea thread yenu haina muvuto!!!!