Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,648
- 25,634
Nyie kila mtu hawapendi the whole world is against u huh... Get a grip :happy:
Tulia usiwe kama muppet, hii klabu nimekwishakueleza huko nyuma hivyo sina haja ya kurudia.
Gazeti la the Sun na msimamo wao kuhusu Arsenal wanajulikana. Soma magazeti mengine yanavyochambua hiyo defence na ulinganishe na hiyo ya huyo muppet wako.
Sisi ndio Arsenal mkuu na tunamwamini wenger kwa kila mpango anaofanya pale Arsenal, tokea amekuja mwaka 1998 mpaka sasa ni miaka 17 hiyo.
Ongea mambo mengine kabisa na sio kutengeneza "muppets ring" hapa.