Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Arteta akiumia sijui ni nan wa kukava nafasi yake ya holding midfielder! Coquelin na Diaby siyo wakutegemea kabisa! Strikers ni kama hatuna kabisa, maanake tunawategemea Giroud na Chamakha kwa sasa. Still nina wasiwasi na kikosi cha sasa!!
But all in all Wenger knows!!
Arteta akiumia sijui ni nan wa kukava nafasi yake ya holding midfielder! Coquelin na Diaby siyo wakutegemea kabisa! Strikers ni kama hatuna kabisa, maanake tunawategemea Giroud na Chamakha kwa sasa. Still nina wasiwasi na kikosi cha sasa!!
But all in all Wenger knows!!
Rejao hapa umeteleza...sie mashabiki tusha athirika kisaikojia kwa kweli...Coquellin akipata nafasi atafanya vizuri anajua dogo...the same question tulikuwa tunalisema wakati Almunia ni no. 1 akaumia Sczecny akachukua namba sasa hatutaki aondoke...hata game ya Stock watu walivyomuona Mannone golini wakaanza kuguna!
Oxlade chamberlain wakati ananuliwa kila mtu alishout vya nini vitoto? Sasa asipokuwepo bench tunasikitika
Kumbukeni mfumo wetu ni 4-3-3 ambao viungo watatu, wawili wanakaba na mmoja anacheza Free role i.e Santi Cazorla
Rejao unakumbuka mwanzoni mwa season 2007-2008 arsenal walimnunua Lass Diarra na tulilalamika kwanini AW anamweka Benchi Gilberto Silva na anampanga Flamini? Baadae huyo Gilberto tukamwona Flop
Makocha wanajua Arsenal sio kama City pale amenunuliwa Maicon na kuna Zabaleta na Richards mpaka unaona kocha anasajiri kwa Woga
hata jana Spurz wamemsajiri Hugo Lrois na wanae Brad Frieder,carlo cudicini na Huberto Gomez
Mi naamini pale kati patazibwa na hatutaamini maana akina Frimpong na Wilshere watarudi soon
Strikers ni kama hatuna kabisa , maanake tunawategemea Giroud na Chamakh kwa sasa.
Arsenal 1st & 2nd choice XI. Thoughts?
essien made the right choice by joining real madrid over arsenal...He wants to win la liga he wants medals and trophies something you would never achieve playing for arsenal..
sijui kama tutatoka.
Essien did not have to choose between Madrid and Arsenal. He was offered to different clubs including Arsenal for a season long loan. Arsene never wanted him. Tatizo unasikiliza local radios na habari zisizo na uhakika.
John Cross [MIRROR UK] on Twitter - " johncrossmirror
My understanding is that Arsenal were offered Essien - and not the other way round. They politely
declined but was never on today's agenda"
Huu msimu utakuwa mgumu sana kwa Walkott manake ametishia nyau, linalofuata ni benchi tu na dogo oxlade-Chambarlain anachukua namba hiyo!!!!!!
Arsenal subirini mpata kipigo toka kwa liverpool ndio muanze kujipanga upya bado hamja pata starter
Karibu JF
Natamani Livapuli wawatungue kesho, ha ha ha!!
BJ nini sasa jirani! mbona tunaombea vibaya!!...
Dalili zote zinaonyesha kuwa leo ni lazima tutafungwa na Liverpool siyo chini ya goal 3.
Kwa hii mechi ya leo huitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji kwenda kupiga ramli...ukweli ni kwamba hatutoki.
Yaani tumejitahidi sana labda droo....lakini twaweza fungwa goal 3-1 au goal 2-1. Utaki unaacha