Napenda akisepeshe huyu kijana labda ni Usain Bolt no.2 kamepewa offa ya £75000 kamegoma eti anataka £100,000 kwa week? Hii ni joke kwa kiwango gani? Very incosistent,too predictable,unskillful...tena mi sikakubali haka kajamaa...alafu hii inafanana na Luis Nani's situation pale man utd nako eti kalitaka wakapandishie toka £80,000 mpaka £100,000 fergie amemkatalia "kwa kiwango gani? Kameufyata mkia
Ondoa vitoto vinakimbia kimbia tu uwanjani...
Ni pale tu baada ya wachezaji hawa kuondoka ndio tunasikia ubovu wao, lakini kabla ya hapo utasikia nyimbo za sifa kutoka kwa Arsenal fans = DESPERATION, ANGER, JEALOUS...you name it.
1. Fabregas = Sio mzuri kama anavyodhani, atakaa benchi Barcelona, kiwango chake kimeshuka hatumtaki.
2. Nasri = Greedy, One season wonder, atakaa benchi Man City
3. Van Persie = Injury prone, Mzee, Greedy, One season wonder, atasugua benchi ManU.
4. Song = Hajui kukaba, kasababisha beki yetu inaonekana mbaya, Lazy, bad attitude, benchi linamsubiri Barcelona
5. Walcott = Very incosistent, too predictable, unskillful, greedy, mbio tu hajui mpira, benchi linamsubiri kokote aendako isipokuwa Arsenal.
Who's next?
Sema naona tumeuza uza mpaka tunawakatisha moyo waliobaki.
Muhimu hapa kununua tu ,siku zimebaki chache na naona wakina Ben,Chamakh,park,arshavin bado wapo tu hatujawauza
Diaby and Ramsey after they impress...WALCOTT wa kawaida binafsi ushabiki pembeni sijawahi KUMKUBALI na huo ndo msimamo wangu...
Haya tuachanane na Walcott, hao wengine mbona umekuwa mstari wa mbele kuwaponda baada ya kuondoka? Kwa nini usiseme "thanks for your contribution and good luck huko uendako"? Hiyo ndio sportsmanship. Drogba ni legend pale Darajani, lakini alipoondoka tulimpa baraka zetu zote....lakini ninyi, duh?
Kaka kuondoka kwa Drogba ni sawa na alivyoondoka Henry,vieira,cesc,pires,Ljungberg hawa waliondoka vizuri kaka na hawakusema lolote baya on media kwa timu iliyowapa jina
Ashley cole,nasri,Ade hawa waliondoka kwa Mbinde alafu wakawa wanatutukana ma fans na Club kwa Ujumla wake!
RVP kuondoka sikuwa na kinyongo "frankly speaking" Shida sikupenda Aende Manure bora mngemchukua hata nyie na unajua kwanini? MASHABIKI WAO WANACHONGA HAO!! Lakini Rvp ni mchezaji mzuri without a doubt
Tatizo la washabiki wa Arsenal wanapenda wao tu ndio watukane wachezaji wao wa zamani, lakini isiwe kinyume cha hapo. If you can't take it, don't give it....simple.
Kwa hiyo umekubali kuwa ulipokuwa unasema hovyo kuhusu RVP ilikuwa WIVU na HASIRA....now I know what kind of person you're.
Vipi kuhusu Song?
Transfer clockwatch
Kukiwa kumesalia masaa si chini ya 24 Arsenal inafanya kila jitihada kusajili wachezaji wawili kuziba nafasi ya Alex Song na kupata beki mwingine atakaesaidia upande wa kulia ambako Jenkinson bado hajakomaa na Sagna ni majeruhi.
Kuna wachezaji sita wanatajwa ambao mpaka sasa wawili kati yao ndio wanaonekana watasajiliwa na Arsenal ambao ni:
Mapou Yanga-Mbiwa- Ana miaka 23 na anaweza kucheza upande wowote katika ile "back four". Anachezea Montpellier na anaweza kugharimu kiasi cha paundi milini 7.
Gregory van der Wiel- Ana miaka 24 pia ni beki wa kulia wa Ajax Amsterdam na anaweza pia kuziba sehemu hiyo ya kulia ambako mara nyingi kumekuwa kukitumiwa na washambuaji wa upinzani.
Sehemu ya kiungo ulinzi kunahitaji kuzibwa pengo la Alex Song na kuna wachezaji wafuatao ambao mmoja wao anaweza kununuliwa na Arsenal:
Yan M'vila - Ikiwa Arsenal watamnunua huyu kiungo basi watakuwa wanamsaidia Santiago Cazorla katika kupika mashambulizi. Tatizo ni kwamba Tottenham Hotspurs nao wameingia katika mchuano wa kumtafuta M'vila na hiyo inaweza kuleta matatizo.
Ibrahim Afellay- Huyu ameruhusiwa na Barcelona kwenda kucheza kwa mkpo kwenye timi yoyote ile na Arsenal wanaangali nafasi ya Theo endapo akiuzwa basi Afellay achukuliwe kwa mkopo.
Yohan Kabaye na Cheikh Tiote ambao ni walinzi wa kati wa Newcastle. Newcastle watataka milioni 20 kwa kila mmoja wa wachezaji hao na hiyo ni kwasababu watakuwa hawana muda wa kusajili mchezaji mpya.
In Arsene we trust.
Napenda akisepeshe huyu kijana labda ni Usain Bolt no.2 kamepewa offa ya £75000 kamegoma eti anataka £100,000 kwa week? Hii ni joke kwa kiwango gani? Very incosistent,too predictable,unskillful...tena mi sikakubali haka kajamaa...alafu hii inafanana na Luis Nani's situation pale man utd nako eti kalitaka wakapandishie toka £80,000 mpaka £100,000 fergie amemkatalia "kwa kiwango gani? Kameufyata mkia
Ondoa vitoto vinakimbia kimbia tu uwanjani...
sizitaki mbichi hizi sio? Kila player anayeondoka arsenal mnamsagia Alex song, RVP na sasa THEO hao wengine akina podolski mnawatayarishia akina man city mwakani wanawabeba alafu utamsagia pia na yeye...POOL OLD ARSENAL..Nani tumegoma kumpa contract na mbona hatishii kuondoka? tuna ashley young na valencia so hata juzi babu fergie kasema mchezaji ambae hayuko happy mlango uko wazi..mambo ya kubembelezana ya zamani...
Haya tuachanane na Walcott, hao wengine mbona umekuwa mstari wa mbele kuwaponda baada ya kuondoka? Kwa nini usiseme "thanks for your contribution and good luck huko uendako"? Hiyo ndio sportsmanship. Drogba ni legend pale Darajani, lakini alipoondoka tulimpa baraka zetu zote....lakini ninyi, duh?
Henry nae alipoondoka Emirates alipewa baraka zote umesahau? na sanamu yake ipo pale! sasa wewe unataka tuwasifie hawa kina Juda Iskariot?! Msimu uliopita Rooney alitaka kuondoka mbona hamkumfanyia sherehe badala yake mlizunguka nyumba yake na matisho mengi ya kumdhuru?
Acha kukurupuka mkuu, Chelsea hatuna mchezaji anayeitwa Rooney.
Hii timu ubahiri utatumaliza haki ya mama, yaani watu wanalipwa 120 au 130 K a week hawa jamaa bado wanabembeleza kumlipa 75K. Hii timu yangu kwa hali hii itaendelea kuwa timu ya " we shall do better next season"Theo Walcott amekubaliana na Arsenal kuchezea timu hiyo hadi January ambapo atakuja na jibu kamili kama anakubali kulipwa 75,000K au la.
Hivyo inamaanisha kwamba kuanzia leo atakuwa akikalia benchi.
Jirani......Ni pale tu baada ya wachezaji hawa kuondoka ndio tunasikia ubovu wao, lakini kabla ya hapo utasikia nyimbo za sifa kutoka kwa Arsenal fans = DESPERATION, ANGER, JEALOUS...you name it.
1. Fabregas = Sio mzuri kama anavyodhani, atakaa benchi Barcelona, kiwango chake kimeshuka hatumtaki.
2. Nasri = Greedy, One season wonder, atakaa benchi Man City
3. Van Persie = Injury prone, Mzee, Greedy, One season wonder, atasugua benchi ManU.
4. Song = Hajui kukaba, kasababisha beki yetu inaonekana mbaya, Lazy, bad attitude, benchi linamsubiri Barcelona
5. Walcott = Very incosistent, too predictable, unskillful, greedy, mbio tu hajui mpira, benchi linamsubiri kokote aendako isipokuwa Arsenal.
Who's next?
Jirani......
Hivi, kwa mfano Walcott angekuwa Chelsea na akataka kuondoka....Ungepinga ama kumlaumu RDM kwa kumuuza Walcott?.......
Kwa mtazamo wako unaona kama Walcott ana mchango wowote kwa Arsenal/England ukilinganisha na A O-Chamberlain?...