Kikosi siyo kibaya, ila nina wasiwasi na hizo beki za pembeni.pia manone ni mtu wa kutema mipira sana. Inabidi back 4 wafanye kaz ya ziada kumcover.Mannone, Jenks, Per, Vermaelen, Gibbs, Diaby, Arteta, Cazorla, Gervinho, Podolski, Giroud
Mannone, Jenks, Per, Vermaelen, Gibbs, Diaby, Arteta, Cazorla, Gervinho, Podolski, Giroud
Pt 3 muhimu leo, Bould lazima kahusika sana kuimarisha defence yetu.
Bado dk 20 na uchee tujue vijana wako vipi tena msimu huu
Namuona Bould anapasha na Vijana
Diaby bado ana pasi famba saana.....
Halafu yupo slow sana
Diaby is Killing us!!! Flop... Flop...Flop.....Anapoteza mipira kirahisi saaana!!!!