Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Mkuu, hali hio haitatokea tena wachezaji wa Arsenal kwenda Man City hio sahau kabisa.

Halafu mameneja wa Spurs na Man U pia ni wazee mbona hawabadilishwi?

Sisi Arsenal ndio tunampa imani Wenger na mipango yote anayofanya na sasa tunanunua wachezaji kwa pesa yetu wenyewe kutoka kwenye akiba tena bila kutegemea pesa ya mtu, hio ndio modern world ya footbal.

Ni hao Man City na wenzao wanataka kuharibu ingawa sasa Mancini ameambiwa ni lazima auze wachezaji kwanza kabla ya kununua.

Sasa tuone Man City watauza nani na watanunua nani.
 
hapo tumemkosa song kati! .. manone atadaka FA naona amepata akili sasa ... cazorla anatisha.. girold dah! podlski! acha tu! timu imetulia...
 
ARSENAL: Mannone, Yennaris, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Coquelin, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Walcott, Giroud, Podolski

SUBS: Szczesny, Diaby, Koscielny, Van Persie, Santos, Song, Djourou, Arshavin, Jenkinson, Gervinho, Chamakh, Gnabry
 
hii ina maana Van atabaki haondoki ama..?! vipi mkorea wetu yule ndio safari imewadia.?
Inawezekana Luka kavaa hiyo jezi kwa muda maana kwenye website ya Arsenal bado hawajaandika namba zao....
 
Naona Coquelin leo kakamata dimba la Alex Song.......Katulia kweli pale kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…