Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hehehehe av 1 tot 0 🙂🙂

naona wanaelekea draw ... finger crossed !!! today was my first & last time kushabikia man city Newcastle isn't a threat anymore ... yaan i hate both manchester twats from flesh of my flesh ..
 
Arsenal Chasing Newcastle United Striker Demba Ba je hii ni kwamba Van persie ndio bye bye!!


Inawezekana ikawa ndio bye bye huyu AW hana rekodi nzuri katika kubakisha wachezaji nyota. Tumepoteza wachezaji wengi sana wazuri kutokana na kutoa kauli ambazo zinawaudhi wachezaji...Juzi katoa kauli nyingine kuhusu VP ambayo mimi sikuipenda, "After all VP is still under contract for another year." Hakustahili kuitoa kauli kama hii kwa mchezaji muhimu kama VP nina wasi wasi kama tulivyowapoteza akina Nasri, Toure, Fabregas na wengine kuna hatari pia ya kumpoteza VP maana kishasema hatii wino mpaka aone ni wachezaji gani watakaosajiliwa msimu ujao na kauli kama hii kwa kweli haisadii kabisa..
 
Kama matokeo ya totenham yatakuwa hivi,Itakuwa siku nzuri sana kwangu!!!!!!!!!!!!!!!
 

mzee wenger aki qualify champions ligue anaridhika... while mashabiki wanahitaji vikombe..!! hata hivo tusimlaumu sana wenger bodi pia iingie kwenye lawama ...
 
...Bado tunaendelea kutesa katika nafasi ya tatu
 
Safi sana!! .. Sasa vijana game ya mwisho tupo away!!!! Wenger pls!!! Ramsey ana gunduuuuuu!!! Asianzeeee!!!
 
Safi sana!! .. Sasa vijana game ya mwisho tupo away!!!! Wenger pls!!! Ramsey ana gunduuuuuu!!! Asianzeeee!!!

Inaleta raha sana a MUNGU yupo upande wetu,Natumaini tutashinda.

MUNGU IBARIKI ARSENAL!!
 
Nilikuwa ninahema kwa taabu sana,thanks to the villa of aston.
 
kama Yanga wanamtaka Ramsey bora wakamchukue bure, leo nilikuwa ninaomba New castle washinde kwani ndio ilikuwa njia pekee ya Wnger kufahamu nini umuhimu wa ligi kama akikosa mara moja champion ligue atatia akili ndio utakuwa mwaka wake wa mwisho kucheza na Muhimbili sis hatutoki huko kila siku kwa marazi ya Wenger
Yaani hii timu leo nilikuwa naomba tot washinde na new castle washinde
 
Na ilishawakaa kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…