Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,461
- 829,856
Kwani Shetani ndio kitu gani mkuu?
Ndio mapepo au majini?
Mjuni Lwambo itabidi nikufahamu physically you interests me too much
Last edited by a moderator:
Kwani Shetani ndio kitu gani mkuu?
Ndio mapepo au majini?
You will be disappointed, ni mtu wa kawaida sana.Mjuni Lwambo itabidi nikufahamu physically you interests me too much
You will be disappointed, ni mtu wa kawaida sana.
Hao watoto wakikua wataambiwa mama yao alikufa au wataambiwa ukweli! Sipati picha naona chenga tu
Hapo ndipo mwisho wa yote utakapofikagrafani watakuzwa katika mazingira ya kishoga na watafundishwa ushoga, hao walezi/wazazi!!?? hawatakubali watoto wao wawe tofauti na wao ni sawa na wazazi wa imani fulani hupenda na watoto wao wawe hivyo hivyo....!laana inatamalaki duniani
Ohooo shauri lako mkuu, nasikia eti hadi kuna majini nayo yanaweza kulog in JF, japo kiukweli huwa sielewi kama hayo majini ni wanyama, ndege au ni wadudu!!Haijalishi kwakuwa sitaraji kukutana na zimwi
Ohooo shauri lako mkuu, nasikia eti hadi kuna majini nayo yanaweza kulog in JF, japo kiukweli huwa sielewi kama hayo majini ni wanyama, ndege au ni wadudu!!
Kwani Shetani ndio kitu gani mkuu?
Ndio mapepo au majini?