Arrrrgh! Huu Ucameron huu!

Arrrrgh! Huu Ucameron huu!

Kwa hiyo mkuu wewe unapenda sheria za kibaguzi?
Unataka wabaguliwe?
stable woman, yaweza ikawa hulka yao au jogoo hapandi mtungi, lakini baada ya hawa wanaume wawili kupendana, wakataka kuoana. Kwa wakati huo wa mapenzi yao yalipokuwa juu, Uingereza na Wales hawakuwa na sheria ya kuruhusu ndoa ya jinsia moja. Mwaka 2005 Uingereza na Wales wakarekebisha sheria kuruhusu wasagaji na mashoga kuoana. Hawa wawili, Elton John na David Furnish wakaoana tarehe 21/12/2005 elton akiwa mke na david mume.Kwa hiyo ni wazi jogoo la elton ni marufuku kuwika! Kwa hiyo wanaishi kihalali na ni kosa kuwaingilia maisha yao au kuwabagua kwa namna yoyote kwani sheria inawalinda.
 
Jamaa kila siku ni kukoroga mavi na kuzibua choo!!What a jpb!!
 
Kuna watu wa ajabu, dume lenzio unalipapasa na tena huna hata wasi
 
Yani wanyama pamoja na uhayawani wao hawawezi kufanya huu ubazazi
Sema wewe mkuu, akilini hata kwa kufikiria unaona haiji kabisa ni kitu ambacho hakiwezekani ila kwa hawa wenzetu(mafirauni) hawana hata uoga
 
Sema wewe mkuu, akilini hata kwa kufikiria unaona haiji kabisa ni kitu ambacho hakiwezekani ila kwa hawa wenzetu(mafirauni) hawana hata uoga

Halafu wanafanya juhudi kubwa kweli kuharibu vijana wetu afrika
 
Watoto wako wawili kabanga. Kuna Zachary na huyu kwenye picha Ellijah.Walimwomba mwanamke mmoja (wamemficha sana hawataki ajulikane)awazalie watoto. Uzao wa kwanza wakampata Zachary(sasa ana miaka 2) na uzao wa pili ni huyu ellijah umri mwaka na nusu.

nani aliweka mbegu sasa kati ya hao maabithi wawili....?
 
Kwa hiyo na watoto wanakuzwa waje wawe mashoga, kuna uhuru mwingine sio uhuru ni ushenzi,
 
Watetezi wa haki za binadamu wako wapi? Maana hao watoto hawatendewi haki kabisa! Haki ya mtoto ni kulelewa na baba na mama ajue tofauti ya jinsia hizi mbili. Mtu kama umeamua kuwa shoga hw come unataka watoto? Kuwa shoga inabidi ukubali matokeo yake mojawapo ni kutokuwa na watoto. Sijui dunia inaenda wapi!
Huku aafrika nashangaa tunawapigia makelele wazungu kuhusu ushoga wakt tumeacha kula vyakula vyetu vya kiasili tunaiga vya hao wazungu sijui pizza" chips, spaghetti n.k. naona hivi navyo vinachangia kufanya watu kucause hormonal changes yaani mwanaume anatamani kuwa mwanamke na viceversa!
 
Kwenye huu ushetani wa Elton John na mwenzake mshana, ni kwamba wanalindwa na sheria. Sheria ndo jambo kubwa.Huku kwetu watu wa aina hiyo ya elton john na mwenzake wamejaa, lakini kitu kikubwa ni kwamba hawatambuliwi na sheria.Nchi yetu itakapotunga sheria kulinda ushoga hapo ndo utakuwa kiama na si vinginevyo.Mashoga wa tz wanajichezea mpira kwenye matope usiotambuliwa na tff caf wala fifa!
SHIEKA, Rekebisha hii habari yako, umesema Elton John na mwenzake mshana?
 
Last edited by a moderator:
SHIEKA, Rekebisha hii habari yako, umesema Elton John na mwenzake mshana?
TECHMAN, hapo nilikuwa nazungumza na mshana jr.Sikumchanganya kwenye kundi la elton john na mshirika wake.Na mshana jr alielewa na ndo maana hajalalamika kutaka marekebisho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom