hao ni wawa kilishi wa shetani
Mbabu mzima miaka 65 eti anaolewa!Huyu ni mwimbaji nguli Elton John na 'mume' wake, David Furnish 50.Kuondoa
upweke wao wameadopt watoto wawili Zachary na Ellijah, wote kutoka kwa mama mmoja aliyeombwa kuwazalia watoto hao
View attachment 183027View attachment 183028View attachment 183029
Kwenye huu ushetani wa Elton John na mwenzake mshana, ni kwamba wanalindwa na sheria. Sheria ndo jambo kubwa.Huku kwetu watu wa aina hiyo ya elton john na mwenzake wamejaa, lakini kitu kikubwa ni kwamba hawatambuliwi na sheria.Nchi yetu itakapotunga sheria kulinda ushoga hapo ndo utakuwa kiama na si vinginevyo.Mashoga wa tz wanajichezea mpira kwenye matope usiotambuliwa na tff caf wala fifa!SHIEKA huko tuendako huko... sijui..!? ninachowaza ni hao watoto wakikua watakuwaje! tunajiandalia kiama kibaya mno
Aah wapi shetani mwenyewe akikuta wafuasi wake wanafanya huu ushenzi anatimuaga mbio....!tena mbio kweli
stable woman, yaweza ikawa hulka yao au jogoo hapandi mtungi, lakini baada ya hawa wanaume wawili kupendana, wakataka kuoana. Kwa wakati huo wa mapenzi yao yalipokuwa juu, Uingereza na Wales hawakuwa na sheria ya kuruhusu ndoa ya jinsia moja. Mwaka 2005 Uingereza na Wales wakarekebisha sheria kuruhusu wasagaji na mashoga kuoana. Hawa wawili, Elton John na David Furnish wakaoana tarehe 21/12/2005 elton akiwa mke na david mume.Kwa hiyo ni wazi jogoo la elton ni marufuku kuwika! Kwa hiyo wanaishi kihalali na ni kosa kuwaingilia maisha yao au kuwabagua kwa namna yoyote kwani sheria inawalinda.Mimi mwenzenu bado sijawaelewa hawa watu kwani tatizo ni jogoo hapandi mtungi? Au ni hulka yao tu?
Watoto wako wawili kabanga. Kuna Zachary na huyu kwenye picha Ellijah.Walimwomba mwanamke mmoja (wamemficha sana hawataki ajulikane)awazalie watoto. Uzao wa kwanza wakampata Zachary(sasa ana miaka 2) na uzao wa pili ni huyu ellijah umri mwaka na nusu.huyo mtoto wamempataje....?
Aina ya nguo za kuvaa ni uamuzi wake Econometrician. Lakini majukumu yote ya kike anayabeba barabara sema tu hazai.Mbna havai sketi sasa?
General8,kwa kuwa kuna sheria inayolinda mashoga na wasagaji, hakuna ubaguzi wowote dhidi yao.Kama elton angekuwa mwanasiasa angeweza hata kugombea uwaziri mkuu uingereza.Ila pointi yako naikubali:majuu kweli hamnazo kiasi cha kubariki ushoga na usagaji.harafu elton kwao anaitwa Sir, wazungu hamnazo
nakusaka, rasimu ya katiba haizungumzii ndoa za jinsia moja ila kwenye SURA YA NNE inayozungumzia haki za binadamu upo mwanya kwenye ibara ya 25 kipengele (2) unaoweza kutumiwa na wanaharakati wa haki za mashoga na wasagaji kutaka kutungwa kwa sheria ya kuwalinda.Hivi rasimu ya katiba imezungumziaje ndoa ya jinsia mmoja
Kusema kweli maadili ya familia na malezi yanaharibiwa sana.Hao wavulana wawili katika kukua kwao wataona hao wanaume wawili wakishikanashikana, kupigana mabusu, kulala chumba/kitanda kimoja.Na wao si ajabu wakaishia kuwa mashoga waliokubuhu.wanawaharibu tu hao watoto sasa watakua wanamuuita uyo jamaa mama au?