poisson
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 130
- 42
Habari wana JF, mtaani imekuwa na uhaba wa madawa ya kulevya na kupelekea nateja kuhaha na kukosa msaada kwa Arosto.
Hongera kwa makonda kwa kupambana na kufanya madawa ya kulevya kupotea mtaani maaan kwa mwendo huu mateja wote watakimbilia Sober kupata msaada na kupelekea kupungua kwa watuaji was madawa ya kulevya. Japo najua kuondoka kabisa yahitajika nguvu ya ziada ili itapunguza kwa kiasi kikubwa.
Mtaani kwako hali ikoje