charles.ludovick
Member
- Dec 26, 2012
- 63
- 9
Mi ni mzalendo wa nchi yangu tanzania.na napenda kulinda mipaka ya nchi yangu,pamoja na watu wake.yoyote mwenye taarifa za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania,plz anijuze. JWTZ
.poa mpiganaji najua ni lazima nianzie jkt,jeshi liko jkt sio jw.kama unauzalendo wa ukweli, anza jkt
Anzia mgambo dogo,kisha ukajiunge na city kwanza alafu ntakuja kukuchoa huko!.poa mpiganaji najua ni lazima nianzie jkt,jeshi liko jkt sio jw.
SEMA MPIGANAJI,UKO PANDE ZIPI? Coz HUKU MBEYA BADO.
Kwakuwa tayar ushajua JW bila JKT ni sawa na kuisubiria meli Airport basi usiseme huku Mbeya bado, habar nilizonazo from pale Mlalakuwa JKT HQ watu wameanza kureport Kambini Jana kuanzia Ruvu JKT, Mgambo JKT wote jana tarehe 24 February na kambi zingine pia, week nzima hii watareport tu depo, pale makao makuu geti la kuingilia kwenye kila kibanda cha mlinzi wa getini kuna karatasi za majina yote kutoka Mikoani na Dar pamoja na kambi walikopangiwa kwahyo unaenda tu unachek jina lako, kuangalia ni bure na hamna kuulizwa maswali meengi!
So kama bado unasubiri waje mbeya kwenye usaili hebu jaribu kufanya kama unauliza vizuri kwa DC maana nnavyoona ni kama umeachwa nyuma!
Ebwana kuna jamaa wangu yupo mbagala ila hajui JKT headquarter, nilikuwa naye DOM hapa, hivyo yeye mgeni hapo Das lam,
Mwambie apande daladala ya Mbagala-Kawe amwambie Konda amshushe Mlalakuwa JKT yaan ukishuka hapohapo unaliona Jengo mbele yako maana liko barabarani kabisa!