Ariel Sharon is dead!

Ariel Sharon is dead!

Status
Not open for further replies.
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon afariki dunia leo Sheba Medical Center, Tel Aviv kwa kiharusi, mamlaka nchini humo zathibitisha alikuwa mahututi tangu 2006. Ndiye aliyewaondoa Gaza walowezi wa Kiyahudi mwaka 2005, ashutumiwa kwa mauaji kwenye kambi za wakimbizi Lebanon.
 
R.I.P Sharon....umeicha Israel ikitengwa na dunia taratibu kwa kibri ya PM wake wa sasa.

Kule hatuna Balozi, kwa hiyo hatupeleki ujumbe wa kuomboleza kwenye mazishi ya Sharon? watu wa diplomasia mnasemaje?

Watu huwa wanachukulia dunia ni mataifa ya Marekani na Ulaya au Mataifa yanayounda NATO we unamaanisha dunia ipi,

kufikiria kama Israel itakaa itishiwe na Taifa lolote duniani ni upogo uliotukuka.
 
Let him go to Hell.


Kitukuu cha mtume utakijua tu! Hiyo lugha ni utambulisho tosha.

Anyway, Rest in Peace, the descendant of Abraham, and Isaac, and James (Israel), and David (the King of Israel). Rest in Peace the former Commander-in-Chief of the Nation of God. Amen.
 
Mungu aiweke roho yake sehemu panapostahili alishakufa muda mrefu toka 2006 huyu muuaji.

Mnawachukia na kuwalaani hawa wa nje hawa wa ndani waliolipua mabomu na kuua pale Olasity, Soweto na ile ya Mwangosi na Dr. Mvungi mnawasifia acha unafiki ndugu.
 
He was not among the living, so he cant die. Neither was he dead , so he cant live.
 
Yaani namuoombea kwa mungu akachomwe dhalimu mkubwa aliyeshiriki kuwadhumu na kuwauwa ndugu zetu wa kipalestina bado na huyo benjamin netanyau moto uwe ndio makazi yao laanatullah
 
nategemea kusikia chochote behind his death frm conspiracy theorist
ukumbuke yeye ndo aliamua kuendesha ile disegagement plan,kuondoa askari wake huko gaza na westbank hasa baada ya kuona casualties zinazidi kwa upande wao pamoja na gharama za kuyakalia maeneo hayo.

Wakati anatangaza hatua zaidi za kujiondoa palestina huku pembeni yake akiwepo mbabe mwingine benjamin netanyau,ambae inasemwa hakuwa anafurahia suala la boss wake sharon kuzidi kuachia maeneo mengine zaidi kwa wapalestina.
Siku chache baada ya hapo ariel sharon alipata stroke.
Kwamaana ya kuwa mishipa midogo ya damu iliyopo kwenye ubongo ilipasuka na hivyo kuvujisha ubongo katika damu.
Inasemwa kuwa hali kama hii inaweza kuwa induced kwa njia za kijasusi,mfano yule mkurugenzi wa CIA wakati wa john f kennedy akiitwa Allen dulles baada ya kenedy kuuwawa ,baada ya allen kustaafishwa na rais aliefuata,alikutwa amekufa kwa stroke iliyosababishwa na kudungwa sindano ya sumu inayosababisha blood clot,yaani kibonge cha damu kinaganda katika mshipa wa damu na hivo kufanya damu iwe inasukumwa kwa pressure kubwa na hivyo kupasua mshipa wa damu na kupelekea stroke.
 
Kama kweli kuna hukumu na moto huko jehanamu huyu jamaa haponi moto huo hata kidogo, binafsi naombea mungu aongezee kuni kwa ajili ya kumbanika yeye tu, daah huyu mtu alikuwa katili bwana mi ni mkristo bt kwa hili la kuua wapalestina kama kuku sidhani kama Mungu alikuwa na maana hio kwa hilo taifa teule, huyu bwana anatofauti gani na magaidi yanayotumia dini ya kiislam na kuua watu lukuki eti kwa kisingizio cha jihad or Allah sijui. Mungu hawezi kuwa gaidi bwana, hawa watu ni wabaya wakafilie mbali huko.
Asipone!!!???
How sure u a?

Labda alipata opportunity ya kutubu b4 hyo comma yake utajuaje!!!?
Mambo ya Mungu magumu sana
 
Rest in peace General Ariel Sharon

Uwezo wake wa medani ulikuwa off the roof
 
Kitukuu cha mtume utakijua tu! Hiyo lugha ni utambulisho tosha.

Anyway, Rest in Peace, the descendant of Abraham, and Isaac, and James (Israel), and David (the King of Israel). Rest in Peace the former Commander-in-Chief of the Nation of God. Amen.

Teh teh teh kitukuu cha mtume hiyo sifa nikiwa nayo mbona ntaringa

Elimu kwaya bwana!!! umeanza kuchanganya uyahudi na ukristu .pole sana.

kama unaubavu kamtoe huyo nguruwe motoni.
 
ariel-sharon.jpg

baada ya kukaa icu in comma state kwa miaka takriban saba mbabe huyu wa wapalestina ameaga dunia leo baada ya hali ya mwili wake kudhoofu toka wiki iliyopita


source: Bbc news
go to the hell pig.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom