Arfi kuondoka CCM

Arfi kuondoka CCM

Duuh anaenda kuungana na wachumia tumbo wenZzake
 
Hasira hasara...Pole Arfi...

Hope ni kqti ya wale 38,000 waliojiunga CCM na wameanza kurudisha kadi.Ikifika October 2015 nadhani watakuwa wamekwisha
 
aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chadema tanzania bara, ndg.said amour arfi ambaye alijiunga na chama cha mapinduzi (ccm) hivi karibuni amesema anafikiria kujiondoa ccm na kujiunga na chama kingine cha upinzani (hakukitaja jina), kwa kuwa hakuna demokrasia ya kweli ndani ya ccm.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii kwa njia ya simu, arfi amesema alijiondoa ccm mwaka 2000 na kujiunga na tlp kwa sababu ccm haikua na demokrasia, hivyo alitegemea miaka 15 aliyokaa nje ya ccm ingeweza kuibadilisha lakini hadi sasa hali ni ileile.

Arfi alitupwa nje kwenye kura za maoni ndani ya ccm kupitia jimbo la mpanda kati ambalo ameliongoza kwa miaka 10. Hata hivyo anafikiria kutetea kiti chake hicho cha ubunge kupitia chama kingine nje ya ccm. Watafiti wa masuala ya siasa wanasema huenda akajiunga na act wazalendo.

Arfi alikuwa mwanachama wa ccm hadi mwaka 2000 alipoondoka na kujiunga na tlp. Mwaka 2005 alijiondoa tlp na kujiunga chadema ambapo alipata fursa ya kugombea ubunge na kushinda kwa vipindi viwili mfululizo.

Mwaka huu alijiondoa chadema na kurudi ccm, lakini ameangushwa kwenye kura za maoni na hivyo anafikiria kuondoka ccm na kujiunga na chama kingine cha upinzani ambacho hakukitaja.
shikamoo ccm. Maana kwenye bunge la katiba alijifanya kidume eti anatetea wananchi. Ametumika kama ile mipira sasa hana la kufanya. Ccm ndivyo wanavyowaua kisiasa kwa vipande vya pesa
 
Kwani hajui chama kinachopokea wanaokatwa tu? Arudi tu asione aibu
 
hili jinga kweli kama kuna watu wanalishabikia nao ni wajinga kabisa.
 
Kwenda CCM ilikuwa ni zuga tu,lengo lake ni kwenda ACT migebuka.
 
Back
Top Bottom