Arekodi Video Za Binti Yake Akifanya Mapenzi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,125

4509594.jpg

Bobbie Jo Geveshausen Friday, May 21, 2010 2:44 AM
Mama wa nchini Marekani ambaye alirekodi VIDEO za binti yake mwenye umri wa miaka 16 akiingiliwa kinguvu na mpenzi wake ametupwa jela miaka 58 jela. Bobbie Jo Geveshausen mwenye umri wa miaka 43 alipenda kurekodi video wakati mpenzi wake Edward D. Shockey alipokuwa akifanya mapenzi na binti yake mwenye umri wa miaka 16 na wakati mwingine alijiunga nao.

Kutokana na tabia yake hiyo, Bobbie atatupwa jela miaka 58 kwa kushiriki kwenye kitendo cha kuingiliwa kinguvu kwa binti yake huku yeye mwenyewe akiwa ndio mchukuaji wa video.

"Ni vigumu kuamini kuwa mama mzazi anafurahia binti yake kubakwa huku akirekodi video", alisema mwendesha mashtaka wa kitongoji cha Platte, Eric Zahnd kabla ya jaji kutoa hukumu jana.

Video za kuingiliwa kinguvu kwa binti yake Bobbie ziligundulika baada ya Edward kumpa kimakosa mpenzi wa binti huyo DVD ambazo zilitakiwa ziwe ni za muziki.

Badala yake DVD hizo zilimuonyesha Edward akimuingilia kinguvu binti huyo ambaye katika baadhi ya matukio ya DVD hizo alionekana wazi kuwa ni mjamzito.

Katika DVD hizo mama yake alionekana pia akishiriki katika baadhi ya matukio ya kuingiliwa kwa binti yake.

DVD hizo zilipelekwa polisi ambapo Edward na Bobbie walitiwa mbaroni muda mfupi baadae.

Wakati Edward alihukumiwa kwenda jela miaka 25, Bobbie alihukumiwa kwenda jela miaka 58 baada ya kukiri makosa matano ya kumuingiza binti yake mwenye umri mdogo kwenye masuala ya ngono na makosa mawili ya kulawitiwa kwa binti yake .

NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
 
:angry:
mtu anawezamfanyia binti yake wa kumzaa mambo kam haya!
 
Stone them to death !!

Passage Leviticus 20:10:

And the man that committeth adultery with another man's wife, even he that committeth adultery with his neighbour's wife, the adulterer and the adulteress shall surely be put to death.

Passage Deuteronomy 5:18:

Neither shalt thou commit adultery.
 
4509594.jpg

Bobbie Jo Geveshausen Friday, May 21, 2010 2:44 AM
Mama wa nchini Marekani ambaye alirekodi VIDEO za binti yake mwenye umri wa miaka 16 akiingiliwa kinguvu na mpenzi wake ametupwa jela miaka 58 jela. Bobbie Jo Geveshausen mwenye umri wa miaka 43 alipenda kurekodi video wakati mpenzi wake Edward D. Shockey alipokuwa akifanya mapenzi na binti yake mwenye umri wa miaka 16 na wakati mwingine alijiunga nao.

Kutokana na tabia yake hiyo, Bobbie atatupwa jela miaka 58 kwa kushiriki kwenye kitendo cha kuingiliwa kinguvu kwa binti yake huku yeye mwenyewe akiwa ndio mchukuaji wa video.

"Ni vigumu kuamini kuwa mama mzazi anafurahia binti yake kubakwa huku akirekodi video", alisema mwendesha mashtaka wa kitongoji cha Platte, Eric Zahnd kabla ya jaji kutoa hukumu jana.

Video za kuingiliwa kinguvu kwa binti yake Bobbie ziligundulika baada ya Edward kumpa kimakosa mpenzi wa binti huyo DVD ambazo zilitakiwa ziwe ni za muziki.

Badala yake DVD hizo zilimuonyesha Edward akimuingilia kinguvu binti huyo ambaye katika baadhi ya matukio ya DVD hizo alionekana wazi kuwa ni mjamzito.

Katika DVD hizo mama yake alionekana pia akishiriki katika baadhi ya matukio ya kuingiliwa kwa binti yake.

DVD hizo zilipelekwa polisi ambapo Edward na Bobbie walitiwa mbaroni muda mfupi baadae.

Wakati Edward alihukumiwa kwenda jela miaka 25, Bobbie alihukumiwa kwenda jela miaka 58 baada ya kukiri makosa matano ya kumuingiza binti yake mwenye umri mdogo kwenye masuala ya ngono na makosa mawili ya kulawitiwa kwa binti yake .

NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
huyu mama ana pepo mbaya sana.
 
Very very disturbing story... I cant imagine the world has gone mad..I cant believe these things actually happens in real life? has any one watched Precious ? the movie about illiterate, 16-year-old ) lives in the ghetto with her dysfunctional and abusive mother. She has been impregnated twice by her father, and suffers long term physical, sexual, and mental abuse from her unemployed mother....
 
Lakini jamani twende mbele na kurudi nyuma, kuna dini ambayo kiongozi wao alifanya tukio la kufanana na hilo, naomba niweke wazi ili nalo mchangie. Mtume Mohamad (S.A.W) aliozeshewa kitoto cha kike chenye umri wa miaka 6 kiitwacho AYSHA na alikiingilia kikiwa na umri wa miaka 9 bila huruma. USHAHIDI Kitabu cha historia ya Nabii Mohamad kilichoandikwa na ABDALLAH RIDAY wa Ansaar Muslim Youth Organisation Mombasa Kenya uk 158 paragr 2. Naomba tujadili na hili kwa mtazamo huo huo, vile vile hii thread naona kama si mahali pake kweli ni utani huu au mleta mada amekosea.
 
Nadhani hapo hata kumsingizia shetani hawezi kuthubutu maana ni ukatili uliopitiliza hata shetani mwenyewe hawezi fanya kitu kama hicho
 
Siku hizi hatari, this week apa apa bongo kuna kiongozi wa ccm alikuwa anakula yai lake mwenyewe..
 
Back
Top Bottom