I am working with an American company, currently expanding in Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya and we are looking for open positively minded people, interested in business that would like to earn an extra 500,000 to 2,000,000 per month working part time without compromising their current schedule.This business has helped me a lot, I think it can work for you as well. If you are interested to get more information let me know. Thanks and be :happy:.
NB: Only positive and hard working parties.
Nyie (kampuni) ni akina nani na mnafanya shughuli gani ambayo na mimi naweza kufanya parttime? im interested tafadhali nieleze
Huku hakuna tapeli, kama ulitapeliwa pole yako. Labda ulitapeliea na wauza madini. Soma vizuri thread yangu, nilisema positive and hard working. Watazania tunapenda vitu vya fasta ambavyo hatujavitolea jasho. Huku unafanya kazi, ndo unalipwa, sio lelemama kama ulivotapeliwa.hapa haitatokea akujibu wanauza bidhaa gani,never..wanajua wanachofanya.
Sana sana atakwambia uende kwenye ofisi zao ili wakakutengeneze akili wakuingize mkenge..kuna tapeli lao kuu ilo wenyewe wanamuita jembe,James.
Kumbe Forever Living Product! good. Mimi huwa natumia mbinu zao kwa biashara tofauti ya kabisa na nimefanikiwa. Jamani siyo lazima ujiunge nao ila kwa kusikiliza unaweza fanya implementation za vitu vingine tofauti.
Uko wapi tukutafute sasa.

Toa mfano umefanikiwa biashara gani kwa hizo mbinu?
Kumbe Forever Living Product! good. Mimi huwa natumia mbinu zao kwa biashara tofauti ya kabisa na nimefanikiwa. Jamani siyo lazima ujiunge nao ila kwa kusikiliza unaweza fanya implementation za vitu vingine tofauti.
Uko wapi tukutafute sasa.
Yaaan m2 kama wewe ukifanikiwa me sishangai cz umetambua kuwa mbinu znazofundshwa kule unaweza ku2mia popote hata kazn na ukaona matokeo,mij2 imetawaliwa na mawazo hasi 2,me sijajiunga cz tz not my thing but nakubali sana jitihada zao za kuwaelimisha wa2 juu ya ujasiriamali na jinsi ya kutoka...
I am working with an American company, currently expanding in Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya and we are looking for open positively minded people, interested in business that would like to earn an extra 500,000 to 2,000,000 per month working part time without compromising their current schedule.This business has helped me a lot, I think it can work for you as well. If you are interested to get more information let me know. Thanks and be :happy:.
NB: Only positive and hard working parties.
Soma "Who moved my cheese" fanya implementation ya mbinu za kujikwamua biashara, familia, etc.