Are you invited?

Kwa hiyo kuja lazima uwe umealikwa? Siwezi nikajialika mwenyewe as far as I know tym and venue?
 
Hao wadudu kuna prawns na Lobuster, most expensive sea food.
Baby kuna Caviar! Almas the Iranian Caviar! Naskiaga tu lakini kwnye Rich Kids of Beverly Hills show, kwenye dstv ya jirani! Na china kuna delicacy za bahari kama Pythons dishes very expensive!
 
Baby kuna Caviar! Naskiaga tu lakini kwnye Rich Kids of Beverly Hills show, kwenye dstv ya jirani!

Wakati nikiwa kwenye tourist industry wageni wetu wengi ni matajili wa kimarekani Warussia na Waspain wakiwa porini wanaagiza kwa $3000 ndege iwapelekee hao Lobster tu na wanatakiwa wafike wakiwa hai na hata ukienda Fish market Lobster bei yake iko juu sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…