" Are you an Engineer or a nigger"? Binadamu anayefanana na Messi....Paul Dano

" Are you an Engineer or a nigger"? Binadamu anayefanana na Messi....Paul Dano

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,198
Paul Dano's




pauldano__span.jpeg


Huyu si Lionely Messi bali ni Paul Dano ameigiza Movie ya 12 Years of slaves nilipoitizama movie hiyo nilistuka nikajisemea he Messi tena humu ila jamaa ni mrefu tu ndio tofauti zao.... ila wamefanana sana uso hadi midomo

Haya Maneno yalisikika alipokuwa akimuambia Mtumwa Are you an Engineer or a Nigger... baada ya kubishana kuhusu ujenzi wa Nyumba ya Mzungu

BAl--5MCAAAVxT1.jpg:large

Paul Messi


h6E2BAB9B

Hapa unaweza sema ni mtu mmoja...

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom