Are our men failing us? Labda 'Strong Men' Extinction?

Are our men failing us? Labda 'Strong Men' Extinction?

mi naona responsibility kubwa iko kwa akina mama na malezi ya family kwa ujumla. ninaamini strongly kuwa mtoto umleavyo ndio akuavyo, na sisi wakina mama ktk jamii zetu ndio tuna jukumu kubwa la malezi ya watoto na jamii. Wamama wa kileo wamesahau haya majumu au tusema hawayapi kipaumbele kama ilivyokuwa mwanzo. concentration imekuwa devided btn carrier, maisha na malezi.

Wanaweke tukiamua tunaweza kuleta mabadiliko makubwa through malezi
 
Yaani ukifikiria sana mambo ya linchi hii, Merembe inakuhusu!
mzima lakini? uliona ujumbe wa mdogo wako?, nilishindwa kuujibu my fone is acting funny; l cant text as kabla hata sijatouch mijiherufi kama 30 inatokea kwenye screen.
ha haaa, na sitajuruhusu kwenda mirembe aisee, I have alot to do.....
yes niliupata, ila naona bado sijajibu sababu nasikilizia toka pande zingine......
hata hivyo nadhani kila kitu kinaenda powa
 
swali zuri..ivi kwani mtu hawezi kubeba makosa yake mwenyewe hadi aseme sababu ni flani?..kunyoosheana vidole tu hakusaidii..na tabia ya kuelekeza lawama kwa kina mama ama wanawake ni kukimbia utekelezaji wa majukumu kwa jinsia zote,mwanamke kwa mwanaume..
Je kushindwa kwa 'wanamme' alaumiwe mwanamke??

Kama watoto wa familia wanaharibikiwa, baba ambaye ni 'head of the family' anakuwa wapi?
 
May be

Ila si unasikia hapa kila siku baadhi ya watu wanataka wanawake wawe submissive? Wawaache wanamme waongoze?

Au sijaelewa kusema 'half of the coin'?

Looking at the men is looking at half of the coin.
 
Kwa Kina mama na wake ndo wakulaumiwa sana. Wanalea tabia mbaya za watoto wao nyumbani na wakikua wanakuwa hawana msaada. Wengine kwa tamaa za wanaume na mali wamewasahau watoto wao hata kujali kukua kwao. Wengine wamewashirikisha watoto wao kwenye uovu hata wakashindwa kuwakemea tena. Wanawalea watoto wao kama mayai wakikua wanashindwa kuhimili mapambano ya dunia kwa kushindwa kuwa wabunifu wa harakati za maisha. Wameshindwa kuwafundisha watoto maisha halisi ya kwao na kuendekeza ukisasa unaoharibu kujiamini kwa watoto wao.

Kutwa wake wanajifunza namna ya kuwa bora kwa waume zao na kuendelea kushindana na hawara za waume zao wakisahau kuwa watoto wao ndo wana safari ndefu kuliko hao wanaume. Wameshindwa kutumia nafasi yao ya kuwa "wake" kuwashawishi waume wao wajali vizazi vyao hadi watoto wanakosa huduma muhimu. Wanabembeleza wanaume magoigoi kwa kisingizio cha mapenzi na heshima kwa mme hadi nyumba zinakosa dira. Wanalia kwa watoto wao kuhusu madhaifu ya baba zao watoto wanakosa heshima kwa baba na jamii. Wanaacha kujitathimini na kushinda makanisani kutafuta suluhu za matatizo ya ndoa wakati wao wana mchango mkubwa katika matatizo hayo.
Familia zao huishi tamaa zao kuwaridhisha.
Katika nyumba hizi hatoki mwanaume au mwanamke jasiri, mwaminifu anajijali na kujali wengine.

Nakubaliana na wewe, ila naona kama unatoa solution ya miaka ijayo (which is a very good thing), hawa 'watoto wakubwa' wa leo tufanye nao nini? Wengine ndio kabisa wamejiunga nasi kushangaa kwa nini nchi yetu maskini seuze kupambana?

Ngoja nikatafute helmet na jivazi kama la 'Iron man' maana wakija huko hatuponi!
 
Kuna mahali Kaunga kasema kuwa, viongozi wa sasa hawafanyi kazi kwa maslahi ya nchi kama wajibu/familia ya kiongozi, wanajali zaidi mafanikio yao ya kibinafsi.

Sasa najiuliza, huku kujali mafanikio binafsi ni kwetu huku au hata nchi zilizoendelea nao wamehama kwenye majukumu ya kitaifa na kufanya ya kibinafsi?

Hapo sijakuelewa kidogo...waweza fafanua?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe kulea jamii ni jukumu la mama peke yake? Huyo 'strong' man anakuwa wapi?

Ulishawahi ona familia imefanikiwa akasifiwa mama?

mi naona responsibility kubwa iko kwa akina mama na malezi ya family kwa ujumla. ninaamini strongly kuwa mtoto umleavyo ndio akuavyo, na sisi wakina mama ktk jamii zetu ndio tuna jukumu kubwa la malezi ya watoto na jamii. Wamama wa kileo wamesahau haya majumu au tusema hawayapi kipaumbele kama ilivyokuwa mwanzo. concentration imekuwa devided btn carrier, maisha na malezi.

Wanaweke tukiamua tunaweza kuleta mabadiliko makubwa through malezi
 
Tumewapa watu wasiostahili madaraka tena kwa kura zetu. Hawajitambui na bahati mbaya wanafikiri wanayoyafanya yataendelea kuwa siri kwa milele yote. Ukiona watu wanaona yanayoendelea sasa hivi ni sahihi basi jiulize sana nini kinaendelea kwenye vichwa vyao
 
Tutakuwa tunajidanganya sana kama tunafikiri Tanzania itajengwa kwa maghorofa ya deal na mihadarati
 
Kwa hiyo natakiwa kuamini hawapo tena? Je watuachie nafasi sie tujaribu? Wako tayari?

Strongmen are there but do not expect them to come from our green and yellow party unless I've got it bad. There is a 'mystic' blowing down here, We need a systemic change..
 
Ha ha ha, mirembe kwa kweli inaweza kukuhusu

Unajua, mie natamani wazalishe kulingana na 'heshima' wanayoitaka, then we will be proud of them.

Yaani ukifikiria sana mambo ya linchi hii, Merembe inakuhusu!
mzima lakini? uliona ujumbe wa mdogo wako?, nilishindwa kuujibu my fone is acting funny; l cant text as kabla hata sijatouch mijiherufi kama 30 inatokea kwenye screen.
 
Then bring yellow and green down kwa njia sahihi
Tuwapime kwa vitendo kwa kweli, mie naanza kuchoka kudanganyika na hii 'Men are created to lead'

Kila siku mnatuhubiria hapa ndio mpango wa Mungu nyie kutuongoza na blah blah nyiingi

Strongmen are there but do not expect them to come from our green and yellow party unless I've got it bad. There is a 'mystic' blowing down here, We need a systemic change..
 
Ndio fanyeni maamuzi basi tuwasaidieje?

Ila msituingize chaka maana na sie nao siku hizi tunaelewa elewa kidogo

Tumewapa watu wasiostahili madaraka tena kwa kura zetu. Hawajitambui na bahati mbaya wanafikiri wanayoyafanya yataendelea kuwa siri kwa milele yote. Ukiona watu wanaona yanayoendelea sasa hivi ni sahihi basi jiulize sana nini kinaendelea kwenye vichwa vyao
 
May be

Ila si unasikia hapa kila siku baadhi ya watu wanataka wanawake wawe submissive? Wawaache wanamme waongoze?

Au sijaelewa kusema 'half of the coin'?

Submissive kwani tusharudisha slavery au? Kwa nini mtu awe submissive kwa mwingine?

Hapo ndo mnapoanza kuharibu.

Mijitu ikishaanza kuhalalisha mwanamke awe submissive maana yake inaweza ku foul up vyovyote na kusema "woman, stay in your place and be submissive".

Maana yake hata kuuliza swali tu kwamba wanaume wa nguvu wako wapi kunaweza kuchukuliwa kama "lewd and licentious un-biblical modernity"
 
Ndio fanyeni maamuzi basi tuwasaidieje?

Ila msituingize chaka maana na sie nao siku hizi tunaelewa elewa kidogo

I detest collectivization.

Unaposema "fanyeni maamuzi basi tuwasaidiaje" unawakusudia kina nani?
 
kabla sijasoma michango ya wengine na pengine kuathiri view yangu; naomba kuchangia kama ifuatavyo.
strong men hawajaisha, ila definition ya strong men ndio haiko shared na wote au wengi.

head wa families wapo, lakini kama ilivyo kwa 'strong men', basi hata definition ya family haipo shared na wote.

ilikuwa ni zamani ambapo, kiongozi wa kabila, nchi alikuwa anaona wale anawaongoza kama ni familia yake na anapaswa hasa kuangalia future ya hiyo familia na anajisikia vizuri sana kama akiweza kuacomplish kusecure future nzuri ya hilo kabila au nchi hata kama kwa gharama ya tone lake la mwisho la damu.
Tofauti na sasa ambapo kiongozi ni mnyonyaji wa kundi analoliongoza while securing great future kwa familia yake nikimaanisha BMW (baba mama na watoto) hata kusahau extended family.
Gone are the days when, watu walikuwa wanabembelezwa kuongoza; lakini sasa watu wanaua ili waweze kutawala.

So Kongosho kwa kiwango kikubwa nakubaliana nawe, lakini definition ya strong men lazima iwe clear kwa kweli, maana to some, yule ambaye anaonesha ubabe can be regarded as strong man na kina nyerere wanaweza kuonekana ni wajinga ambao wameshindwa hata kuahakikisha future ya watoto wao inakuwa secured.
Thanks my Sist, pia tusisahau waliojitokeza mashujaa kama Ulimboka, Mwangosi, Kibanda n.k waliondolewa ujasiri kama siyo kupotezwa kabisa....We are very strong but nature is stronger than us.
 
those strong men walioandaliwa kuongoza jamii from manufacturer

I detest collectivization.

Unaposema "fanyeni maamuzi basi tuwasaidiaje" unawakusudia kina nani?
 
those strong men walioandaliwa kuongoza jamii from manufacturer

Wafanye maamuzi kwa kikao gani cha pamoja wanachofanya?

Strong men wameandaliwa kuongoza jamii na manufacturer gani? Na kwa nini strong men na si strong women?

The Bangladeshi women are leading their society and they have plenty of problems. Some Scandinavian countries have some very pro-women policies, down to quotas in parastatal boards, they also have their own set of problems.

Hao wanaume waliokosa muelekeo wanalelewa na baba zao tu? Mama zao wako wapi na wameachiaje malezi yazorote kufikia hapa?

Ukifikiria mambo haya in the abstract lazima matatizo yaendelee tu, huwezi kupata suluhisho kwa sababu namna ya unavyofikiria kupata suluhisho ni sehemu ya tatizo.
 
Back
Top Bottom