Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Na mwallu yuko vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
hakika naona.Ng'ombe hajawahi kuzeeka maini.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakika naona.Ng'ombe hajawahi kuzeeka maini.
babu asprini akikujibu nishtueTumia shekeli kumpiku mkuu kwani nasikia bado hajavuta jiko alafu Asprini mwenyewe ni yule mzee aliyestaafu kwa kutumia kikokotoo kipya kabla hakijapigwa ban hivyo acount yake inasoma elfu 24 kila baada ya miezi 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro mbona nimekuachia Espy wako kwa amani tuusikubali kuuzwa
Usimsikize huyo babe.. Ngoja nije tubonge freshSawa
Haya babe nakungojaBro mbona nimekuachia Espy wako kwa amani tu Usimsikize huyo babe.. Ngoja nije tubonge fresh
Babu nae inaonekana hawajui vizuri wajukuu zake.Mbona waniharibia soko mwanakwetu? Mimi sio married buana usinitilie mchanga kitumbua changu
Babu nae inaonekana hawajui vizuri wajukuu zake.
Lord have mercy!!!mdogo wangu asprini sijui asporo...huyu@chaliifransisco mie ni km mamake ..khaaa naanzaje kimchojolea nguo aone mamichirizi ya uzazi😂😂😂..michirizi had kwapani.naanzaje sasa...huyu tumpe@babydoll
😂🐒Lord have mercy!!!
Duh aseee. Aibu nimeona mimimdogo wangu asprini sijui asporo...huyu@chaliifransisco mie ni km mamake ..khaaa naanzaje kimchojolea nguo aone mamichirizi ya uzazi..michirizi had kwapani.naanzaje sasa...huyu tumpe@babydoll
🙊Duh aseee. Aibu nimeona mimi
achana na ujuha wa asprin..hua ananjchokoza sqna huyu ..unaona sasa...nishamzoea yy kumjibu hvyo..easy broDuh aseee. Aibu nimeona mimi
Yaani na hiyo avatar yako, mpaka naogopa kuku quote...
Kwanini lakini???
Afu nina ndugu yangu Kaizer alikuwa anakuulizia... Ila usimtishe basi.