Ardhi yetu hatujaweza kuitumia vizuri...

Tanzania kuna tatizo la masoko
Nimempongeza uhuru kenyata kwa kutafutia soko la uhakika wakenya la maparachichi!

Ova
 
Mfano Mdogo tuuu. Waziri wa wa Aridhi. Mh. Lukuvi mpaka Leo swala la kupima aridhi imekuwa ni kitendawili kisichoeleweka ni shida sana
 
Sisi hawa Wachina tunaiwaita ndugu zetu hatujaweza hata kutafuta soko la maharage.
Wachina walaliaji
Nliwakuta handeni wananunua mihogo
Bei zao sasa......utacheka
Hivi Sky Eclat unakumbuka issue ya AGOA
Ile fursa ilivyotolewa waliyoikamata ni watu,wake,familia za vigogo tu
Na kuhusu masoko hpa nchini Mara nyingi ni juhudi binafsi za wafanyabiashara wa ndani
Ndy wanawapataga wanunuzi toka nje
Serikali hata siku moja sijawahi skiaaa ikimpata mnunuzi

Hata watu wa Fair Trade Tanzania hawanunui sana ingawa wana chai kutoka milima ya Usambara lakini wana mpaka vikapu na table mats kutoka Uganda na Malawi.

Fair Trade ni Wazungu wakioamua kuwasaidiacwakukima na wafanya biashara wa Afrika. Wanauza mazao kwa bei ya soko I Ulaya na wanamlipa mkulima kwa kutoa gharama za usafiri na leseni.
 
Wachina walaliaji
Nliwakuta handeni wananunua mihogo
Bei zao sasa......utacheka
Hivi Sky Eclat unakumbuka issue ya AGOA
Ile fursa ilivyotolewa waliyoikamata ni watu,wake,familia za vigogo tu
Na kuhusu masoko hpa nchini Mara nyingi ni juhudi binafsi za wafanyabiashara wa ndani
Ndy wanawapataga wanunuzi toka nje
Serikali hata siku moja sijawahi skiaaa ikimpata mnunuzi

Ova
Tunatakiwa tuachane na ujamaa wa zamani wa kuogopa ogopa kufanya bihashara na mataifa mengine, watu wasajiliwe watambulike kama ni wakulima/wafugaji na serikali iwe karibu nao na sio kuwaacha wenyewe, na mwisho wa siku hakiwa anaungia sokoni unaanza zengwe Kama kwenye ""**Korosho, pamba, tumbaku, kahawa, mchele na mahindi***"""
Tuna wafugaji wengi sana, lakini kusafirisha nyama mpaka Leo imekuwa kizungumkuti, tunasubiri wakenya wakiaaanza kusafirisha nyama nje na sisi tudandie kwa mbele.
****Tatizo ni uelewa ni Mdogo sana kuanzia wasomi, watunga sera mpaka wasomi ****
 
Koroshow serikali yenyewe iliingia kingi
Wao ndy waliaribu

Kuhusu nyama aise sjui tuliharibu wapi maana mbona kipindi cha miaka ya nyuma tanzania ilikuwa ina export
Ukiuliza utaambiwa sjui Magonjwa,Blh Blh
Lkn serikali inafanya jitihada gani kuweka mambo sawa .....hakuna

Mimi nachoona nchi hii kuna style fulani wanatengenezwa watu wachache wao ndy wafanye biashara ....ndomana mabilionea ni hao hao kila kukicha

Fact
 
Umewahi kujiuliza kwanini huwezi kuona produce za Tz katika soko la dunia?
Je kwanini serikali haitaki mazao yetu yauzike nje?
Huwa naenda soko moja kubwa sana huku Ulaya kununua mboga na matunda kwa jumla kwa ajili ya customers wangu
Utaona kila aina ya matunda toka nchi nyingi sana ila huezi kuona hata ndimu kavu za Tz
Uganda na Kenya naziona mpaka pilipili zao na mchicha

Yale ya Mbunge Bashe kuongelea kuhusu licence za biashara 30 na kitu ndio utakutana nayo

Nimeona individuals mahasidi lakini sijawahi kuona serikali hasidi
 
Mkuu ukikuta products za Kenya Ulaya ni kutoka kwenye mashamba ya settlers. Soko la bamia na maua linaongelewa kwenye dinner table ukute mkulima na Sainsbury’s family babu zao walikua marafiki.

Bidhaa zetu nyingi zinakwenda Kenya kwakua sisi hatuna soko la uhakika. Wakenya ndiyo wanunuzi wakubwa wa machungwa Muheza.
 
Mkuu ukikuta products za Kenya Ulaya ni kutoka kwenye mashamba ya settlers. Soko la bamia na maua linaongelewa kwenye dinner table ukute mkulima na Sainsbury’s family babu zao walikua marafiki.

Bidhaa zetu nyingi zinakwenda Kenya kwakua sisi hatuna soko. Wakenya ndiyo wanunuzi wakubwa wa machungwa Muheza.
Soko bado lipo sana na jamaa waliopo hapa Western Int Market ambalo ni soko la kimataifa wengi ni wahindi na wamelishika haswa.
Wananishawishi sana kuwaletea matunda ila inataka experience sana hii biashara.

Wao wakenya wametumia mda mrefu sana na wanajua njia zote na mda wa kutuma
Sainsbury's wanachukua bidhaa zao nyingi locally na zingine toka kwa suppliers wakubwa wa hapa na nje

Hata sisi tunaweza ila ni huko kupata liseni tu kwani kama kwa mfano nikiwa ninahitaji bidhaa na ikinifikia iweze kukaa siku hata 3 bila kuharibika na ukawa na uhakika wa kutuma kwa wakati maana wao order zao wanataka siku mbili ya tatu wawe wamepata mzigo

Tusiogope na kusema wakubwa ndio wameshika biashara hii hapana hata sisi tunaweza
Yupo Dada mmoja anajitangaza sana kwenye mitandao na mpaka amekutana na waziri
Ndio wa kwanza kumuona kwa kweli
 
Kwanza tunatakiwa kujifunza packaging, poor packaging ina mpa mzungu taswira ya poor quality of the product.

Wahindi wameifanya hiyo biashara muda mrefu na wanapeleka mazao In bulky wana warehouses zao huko huko wanafanya packaging huko huko.

Niliona mabamia na pilipili kutoka Kenya vinauzwa Sainsbury’s.
 
Kuna bureaucracy nyingi sana kana katika export ya mazao ya kilimo Hizi zinarudisha nyuma sana upatikanaji wa soko zuri
kwanza kuna mlolongo mrefu Unakuta Reseni inatolewa Wizara ya kilimo, Udhibiti wa ubora Mara TFDA , kibari sijuii Wizara ya viwanda na Biashara . Nashauri hizi shughuli zote za export ya mazao ya kilimo yashughulikiwe na wizara ya kilimo na kila activity na vitengo vyote viwemo humo eg TFDA, TRA
na serikali isiingilie/isiweke zuio shughuli binafisi za wanaoexport ili kuchochea kilimo Provided Haiwapatii mitaji Bali wao wanaiingizia mapato serikali
 
Kwanza tunatakiwa kujifunza packaging, poor packaging ina mpa mzungu taswira ya poor quality of the product.

Wahindi wameifanya hiyo biashara muda mrefu na wanapeleka mazao In bulky wana warehouses zao huko huko wanafanya packaging huko huko.

Niliona mabamia na pilipili kutoka Kenya vinauzwa Sainsbury’s.
Kweli kabisa hapo ndio umegusa
Packaging tuko duni sana wakati tunaona hata bakhressa na mo wanavyoweka bidhaa zao
Nakumbuka kikwete alituma mpaka watu wakajifunze ku pack Kenya sijui waliishia wapi.

Bidhaa zinakuja in bulk na zinafungwa hapa kwa packets na kusambazwa
Ukiangalia kwa mfano vitunguu ile mifuko myekundu kama wavu ndio zinazotumika mpaka kesho
Na matikiti na maboga yanakuja kwenye masanduku makubwa sana ya mbao

Kuhusu mboga zingine ni simple boxes au makasha ya mbao
Kwa kweli inataka moyo haswa na kujituma kweli na kama una mzoefu wa bidhaa hizi la sivyo kila siku zitatupwa jalalani na usitumiwe hata senti kwani ukituma bidhaa ambazo zimeanza tu kuiva kama ndizi ujue imekula kwako na gharama zako zote za usafirishaji na ununuzi itakuwa hasara yako.
 
Unga wa mahindi ninaona wa South Africa wamekamata soko na Iwisa. Lakini quality yake sijaipenda una chenga sana.

Unga mzuri niliokuwa ninatumia ni Maganjo kutoka Uganda. Nikikosa Maganjo afadhali fine Semolina.

Bakhresa alianza kupeleka Azam lakini aliacha.
 
Ta
tatizo kubwa ni bei ndogo ya mazao. Mazao ya biashara sababu serikali inatoza makodi nakubwa na mazao ya chakula sababu inazuia kuuza nje kwa kisingizio cha njaa huku wakishusha uzalishaji, mtu ni bora auze karanga kuliko kulima na kuuza gunia la mahindi 30,000.Watu wakipata bei nzuri watakimbilia kulima na kutanua mashamba.
KINGINE TUwekeze kwenye umwagiliaji. Tuna maji mengi sana.
 
Unga wa mahindi ninaona wa South Africa wamekamata soko na Iwisa. Lakini quality yake sijaipenda una chenga sana.

Unga mzuri niliokuwa ninatumia ni Maganjo kutoka Uganda. Nikikosa Maganjo afadhali fine Semolina.

Bakhresa alianza kupeleka Azam lakini aliacha.
Iwisa wapo juu hata Tesco wanauza pia na unapata kila mahali mpaka Amazon
Hili la Bakhressa kuna wakati aliingiza na UK na watu waliishambulia container halikuchukua masaa liliisha
Sijawahi kusikia tena kaleta sijui huwa tunakwama wapi
Watu walivyogombania sikutegemea ndio utakuwa mwanzo na mwisho wake

Kwa biashara kwa kweli tuko nyuma sana
 
Back
Top Bottom