Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
very said comrade Zito
Nyerere aliagiza nini, boflo? Yeye aliagiza mashamba hayo ardhi yake wapewe wananchi hakuwagiza wapewe walowezi lakini kwa mshangao waliojichukulia hiyo ardhi ni wabunge, madiwani na watu wenye ushawishi kwenye jamii. Hapo Nyerere anahusika vipi Kipata au Narung'ombe?Soma vizuri, Nyerere "aliagiza", sasa hizo zako sijui aliyeagiza nani. Lakini Zitto kasema wazi. Una matatizo ya kusoma?
Nyerere aliagiza nini, boflo? Yeye aliagiza mashamba hayo ardhi yake wapewe wananchi hakuwagiza wapewe walowezi lakini kwa mshangao waliojichukulia hiyo ardhi ni wabunge, madiwani na watu wenye ushawishi kwenye jamii. Hapo Nyerere anahusika vipi Kipata au Narung'ombe?
Mwalimu Nyerere iliagiza wapewe wananchi walipewa Wabunge, Madiwani, Mkuu wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri
kama hali ndiyo hiyo hamuoni kama ni ngumu sana chadema kushinda?nahisi hao matajiri watatumia hela zote kuhakikisha ccm inaendelea kushikilia jimbo'zitto kama hali hii ilikuwa hivi kabla ya uhuru ina maana admin ya nyerere hawakuona hilo?kuna mahali umemis point kidogo'labda hukupata taarifa kamili'mimi natoka machame na kwetu kulikuwa na mashamba mengi ya wazungu enzi hizo na serikali ya nyerere ilitaifisha mashamba yote'inakuwaje arumeru waachiwe watu binafsi na ni jirani na machame?chunguza vizuri utapata jibu!
Dada FaizaFox naona umerudi kivingine.. karibu sana tulikumiss mwanakwetu..ha ha haSoma vizuri, wacha kupindapinda maneno:
Nini ambacho hujakielewa hapo? Kaagiza na wakapewa.
Dada FaizaFox naona umerudi kivingine.. karibu sana tulikumiss mwanakwetu..ha ha ha