Ardhi Mwanza haishikiki!

Ardhi ni raslimali pekee Inayopanda thamani kila siku. Chukua, baada ya muda utashangaa hata hapo nyamadoke hutanunua. Watu wananunua viwanja kwa fujo, changamkia fursa bado mapema.
 
Mbona umepata bahati sana....kwa sababu Nyamadoke ni jirani kabisa na makao makuu ya wilaya ya Ilemela.
Kuna mpango wa kuboresha miundo mbinu kuanzia Igoma,Nyamongholo,Nyamadoke mpaka Buswelu wilayani....pia kuunganisha na Igombe na Kayenze!
Nunua haraka na hutajutia.
 

Kisesa haipiooo?
 
Nlinunua kiwanja Buswelu kwa 10 mil vimeshikana viwili kama bado unataka vipo vingine jirani 2 kila kimoja kinataka 5 to 4.5 mil
 
Bei ya mil 1 Buswelu ni bei ya kutupa chukua haraka kabla mwenye nacho hajashtuka. Nauza changu mahina 790sqm 10 mil njoo nikupe kina miamba2 so hununui kokoto wala mawe ya kujengea
 
Mkuu hiyo bei ndogo sana. Embu nenda Arusha/Moshi km 25 adi 30 kutoka city center unauziwa Miguu 10x15 kwa 3M na wala hakuna mwenye kujali na bado havipatikani watu wanachukua vyote.
 
Bei ya mil 1 buswelu ni bei ya kutupa chukua haraka kabla mwenye nacho hajashtuka. Nauza changu mahina 790sqm 10 mil njoo nikupe kina miamba2 so hununui kokoto wala mawe ya kujengea
Mahina sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…