man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,356
Izo swaga za fb kijana.
jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na mlimani city...
kuna vitabu kama unataka mademu nenda barabarani

nimeoteshwa kuwa utaDISCO Semester ya 1 tu pale ardhi!! yaan baada ya kwenda kusoma unawaza mademu!!??
Wakutoshwa??
nshazoea mkuu mademu ndo wananipa motivation 4m 5 nilishindwa kujiunga kibaha kisa hamna mademu...