Architecture vs Civil engineering

Ganso

Member
Aug 23, 2012
13
1
Wakuu ipi kati ya hizo iko juu zaidi na ni kwa sababu zipi kwa soko la hapa kwetu Tanzania??? Nawasilisha ..!!
 
mkuu hv maswali gani haya mnayouliza!?
unataka kujiajiri au kuajiliwa sema nikusaidie!?
Ila hawa woote wawili wapo kwenye constraction Industry na architecture ni boss wa construction team!
hawa woote soko lao linategemea ujenzi kwa kipindi hicho, all in all chagua moyo wako unakopenda!
 
Kujiajiri ndio lengo kuu ila sio vibaya ukinishauri katika suala la kuajiriwa kwa hizi kazi
 
Wakuu ipi kati ya hizo iko juu zaidi na ni kwa sababu zipi kwa soko la hapa kwetu Tanzania??? Nawasilisha ..!!
ningekua mimi ningetake architecture...kwa sasa sehemu nyingi sana wanatoa civil(st joseph,mist,aru,coet,dit) na in the future lazima hawa watu watafurika tu...embu jiulize ni nani yuko tiari kupiga 5yrs chuo?? ni vyuo vingap vinatoa arch hapa tz?? probably 2 universities(ardhi na mist)..sasa mpaka hapo utaona ni jins gan arch iko juu...kama mdau mmoja hapo juu alivyosema architects ndo master wa builders wote..hiyo ni kwel kwa maana hakuna nyumba inajengwa bila blueprints toka kwa archtect!!! its up to u nw....ILA SKIZA MOYO WAKO ZAID!!! nawasilisha....
 
Yes mkuu im capable..an eye for beauty?? Ofcoz was born with tht, bila shaka uko upande wa architecture
Yap! Maanake suala sio la fani kulipa au kutokulipa, kwanza ni uwezo wa kusoma, kufaulu na kuwa na uwezo wa kufanya kazi hizo katika viwango vinavyohitajika/vinavyokubalika.
 
ningekua mimi ningetake architecture...kwa sasa sehemu nyingi sana wanatoa civil(st joseph,mist,aru,coet,dit) na in the future lazima hawa watu watafurika tu...embu jiulize ni nani yuko tiari kupiga 5yrs chuo?? ni vyuo vingap vinatoa arch hapa tz?? probably 2 universities(ardhi na mist)..sasa mpaka hapo utaona ni jins gan arch iko juu...kama mdau mmoja hapo juu alivyosema architects ndo master wa builders wote..hiyo ni kwel kwa maana hakuna nyumba inajengwa bila blueprints toka kwa archtect!!! its up to u nw....ILA SKIZA MOYO WAKO ZAID!!! nawasilisha....
Asante sana mkuu kwa ushauri wako...
 
Yap! Maanake suala sio la fani kulipa au kutokulipa, kwanza ni uwezo wa kusoma, kufaulu na kuwa na uwezo wa kufanya kazi hizo katika viwango vinavyohitajika/vinavyokubalika.
Nimekuelewa mkuu ..asante ,
 
  • Thanks
Reactions: SMU
ningekua mimi ningetake architecture...kwa sasa sehemu nyingi sana wanatoa civil(st joseph,mist,aru,coet,dit) na in the future lazima hawa watu watafurika tu...embu jiulize ni nani yuko tiari kupiga 5yrs chuo?? ni vyuo vingap vinatoa arch hapa tz?? probably 2 universities(ardhi na mist)..sasa mpaka hapo utaona ni jins gan arch iko juu...kama mdau mmoja hapo juu alivyosema architects ndo master wa builders wote..hiyo ni kwel kwa maana hakuna nyumba inajengwa bila blueprints toka kwa archtect!!! its up to u nw....ILA SKIZA MOYO WAKO ZAID!!! nawasilisha....

Architecture ni nzuri ingawa kwa soko la nchi zinazoendelea bado civil engineering demand yake itaendelea kukua siku hadi siku.Mwisho wa siku follow your heart
 
yah uko sahihi kabisa..ila hapa civil ikiwa juu lazima arch pia iwe juu..hiyo ndo ilikua point yang maana hawa watu wanategemeana na wanafanya kazi pa1!!
 
mkuu hv maswali gani haya mnayouliza!?
unataka kujiajiri au kuajiliwa sema nikusaidie!?
Ila hawa woote wawili wapo kwenye constraction Industry na architecture ni boss wa construction team!
hawa woote soko lao linategemea ujenzi kwa kipindi hicho, all in all chagua moyo wako unakopenda!

Huo usemi una dosari - Maarchitect si mabosi wa civil works zilizo nyingi kama vile ya barabara, ya maji n.k.
 
Architects wako limited....ni wasanifu wa majengo. Civil engineers wanajumlisha ujenzi wa majumba na miundombinu mingine ambayo wasanifu wa majengo hawawezi kuzifanya.
 
Huo usemi una dosari - Maarchitect si mabosi wa civil works zilizo nyingi kama vile ya barabara, ya maji n.k.

ipo kwenye majadiliano, kwa wenzetu kila construction ina husisha architect na qs ! kuna mapungufu yanayojitokeza kwenye industry kwa wanataaluma kuingiliana! ie kwenye majenzi ya barabara kuna swala la costing ambalo kama qs firms zingehusishwa maybe tungeokoa fedha nyingi! au kama architect wangehusishwa kwenye majenzi ya barabara na madaraja unafikiri miji yetu ingependezaje?
 
ni kweli mkuu the problem nchi hii kila kitu kinaendeshwa kimazoea tuu!
 
Kaka km hujui kuchora,TAFADHALI ucpoteze tm yako kusoma arch!ukdunda kwenye core course(studio)unarudia mwaka!pcm/pcb/pgm haikusaidii kabsa kwa arch ya kbongo!km vp nchek kwa 0718008044,nkupe abc coz nlsoma kdogo,yakanshnda!
 
Back
Top Bottom