Architecture vs Civil engineering

Ninachoweza kusema ni kwamba ningekuwa mimi niko katika situation kama yako ningechagua architecture. Sababu ni kwamba its so easy kujiajiri kwa architecture na unafanya kazi bila vumbi na malipo mazuri. ramani ya ghorofa one floor la makazi wanacharge mil. 1. Kuchora wanatumia less than 3 hours na kazi ni kwa computer tu! Isnt that amazing?!!!

Wakati mwingine wanatumia kazi za zamani kufix wateja wapya so haichukui hata one hour mtu anaingiza milioni...
 
Hawa watu wanategemeana na kama umekaa field sana utagundua kwamba Archtect anasanifu tu, Civil(structural eng)ana-design beam,column kulingana na uzito hhiyo inahusisha na size ya nondo na ziwekwe kwa namna ipi, kisha Quantity surveyer anatafuta wing wa vifaa ambavyo vinatumika kwenye ujenzi,

Binafsi naamini Civil ni zaidi kwani anaweza kufanya kazi zote hizo na zikakubalika, pia kufundisha na vyuo vichache sioni ndo kigezo cha kufanya archtect wawe mhimu
 
ipo kwenye majadiliano, kwa wenzetu kila construction ina husisha architect na qs ! kuna mapungufu yanayojitokeza kwenye industry kwa wanataaluma kuingiliana! ie kwenye majenzi ya barabara kuna swala la costing ambalo kama qs firms zingehusishwa maybe tungeokoa fedha nyingi! au kama architect wangehusishwa kwenye majenzi ya barabara na madaraja unafikiri miji yetu ingependezaje?
In short kazi hizi zote zinataka multi displinary approach. Huwezi kujenga jengo kubwa likawa zuri kwa kutumia civil and architects tu...kuna electrical and mechanical engineers ambao wanaitwa service engineers. Na usanifu ni arts pia...ikijumuisha watu wenye mitazamo tofauti tofauti inaweza kufanya mambo mengi yanyooke
 
Ni ukweli usiopingika kuwa both Arch. na civil ni field zinazotegemeana,ktk projects kubwa utakuta architect anaandaa architectural drawings,then civil engineer anaandaa structural drawings(columns,beams,stairs e.t.c) na QS(quantity surveyor) anafanya estimation ya materials na cost..kwa uhusiano huo si rahisi kutoa conclusion kuwa kozi ipi ipo juu ya nyingine though kwa mtazamo wangu naweza sema civil ina advantages nyingi kwani kwa projects za kawaida civil eng anaweza fanya kazi zote hizo,pia civil ipo very wide( u can work in roads projects,laboratories for testing buildings materials and soils,water projects,tunnel design,geotechnical projects e.t.c).

kikubwa make sure u know utofaut wa kazi kati ya civil na arch and the contents of each field then pima uwezo wako and chagua what u like from ur heart, kwani naamini ukifanya kitu unachokipenda na ukiwa compitent enough then beleave me lazima utafanikiwa tu.Suala la kipi kipo juu ya kipi kat ya hizi field mbili it is something complicated and u will be confused kwani mitazamo ya watu inatofautiana basing ktk few examples and not the real situation.issue ya kuwa architecture ni boss wa projects si kweli kwani si katika case zote,ktk projects zingine civil eng is the boss.i stand to be corrected kama aliyesema hivyo atanipa facts and not few exampes.
All in all architecture and civil ni field nzuri and future yake ni nzuri na ukiangalia ktk this time ambapo ajira ni ngumu then with these field ni rahisi zaidi kujiajiri. ALl THE BEST
 
well said!!! but do you knw anything related to irrigation engineering is it similar to civil(structural and transport)???
 
well said!!! but do you knw anything related to irrigation engineering is it similar to civil(structural and transport)???
ok i don't know much about it ,but what i know it is not similar to structural and transport though keep in mind that all speciality in civil engineering share common background(mwanzoni course/modules zinafanana and mwishon ndo kunakuwa na utofauti).
civil and irrigation is a speciality aiming at producing graduates who can serve both in construction and agriculture sectors. civil and irrigation eng. is responsible for planning,designing,constructing,operating and maintaining civil and irrigation structures and systems. in general engineer ktk fani hii ana deal sana sana na kudesign na kusimamia mifumo ya kilimo ya kisasa.
Kwa tanzania hiyo kozi inatolewa Arusha technical college.Endelea kupata details zaidi kwa wadau wengine wanaoifahamu vizuri.
 
very wisely spoken from everybody... Nawapongeza saanna wanajamvi mliochangia uzi huu kwa kuchangia vizuri, it is tym kwa muhusika aliyeomba msaada kuanalyze ushauri wote aliopewa, na kuona ni wapi patamfaa zaidi,,, Mungu awabariki nyoote
 
Back
Top Bottom