Salamu za pole kwa waafrika kusini lazima zitazua gumzo maana Rais Chief Hangaya kaandika tu Bishop Tutu wakati wenzake wote duniani wameanza na cheo chake Archbishop yaani Askofu mkuu, angalia watoa salamu za rambi rambi wote wameandika Arch sasa Mama alisema Rais hakosei mbona kutype tu keshakosea.