Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,734
- 4,081
Acheni ufa
La wenu basiDeni la Taifa limefika trillion 97.35
We mwenye akili Kaokoe jahazi
La wenu basiDeni la Taifa limefika trillion 97.35
We mwenye akili Kaokoe jahazi
Mh.... hilo topolo linadhani wanamiliki Avic TownSio kwangu lakini je Uto inamiliki Avic town?
Ajabu sana eti uto inamiliki Avic Town.Mh.... hilo topolo linadhani wanamiliki Avic Town
Simba, Bodi ya ligi na hilo Likaria ndiyo chanzo cha haya yote. Wale makomandoo/mabaunsa kuwazuia ilikuwa ni kisingizio tu.Japo mpira wa kibongo umejaa upumbavu ila TFF ya Karia imejaa mavi kabisa.
Karia ni bonge moja la tatizo katika mpira wa nchi hii. Ni jitu moja lililojaa ubepari, visasi na misifa isiyokuwa na tija.
Ungesoma UDSM miaka ile (bila kujali unasoma kozi gani)ukiingia unakutana na sifa zake,siasa ndio zinaharibu watu,huyo jamaa ni kichwa kweli,hata hiyo B+ aliipata ya Land Law ambayo mwalimu wake Prof Gamaliel Mgongo Fimbo huwa hatoi A,yaani angepata GPA ya 5.Hata huyo Arafat akiingia kwenye siasa utamkataa.Tunayo mifano ya akina Lipumba,Tibaijuka,Kighoma Malima,Mwakyembe ambao siasa zimefubaza umahiri wao.Kwa sasa ukimwondoa Prof Shivji na Chris Maina,hakuna nguli wa sheria za katiba anayemfikia Kabudi.SAUT MWANZA
Jamaaa wa ajabu sana,Yaaani kupasha viti pale Dodoma na akina Babutale napo ni Big dealProfessor wa jalalani nae ni mtu wa kutambia
Ubunge na uwaziri Kuna watu wanavikataa hivo vyeo
Inamilikiwa na WachinaAvic town inamilikiwa na nani?
Provide some points to support your low minded IQKama mbumbumbu huwezi kuelewa
Karia nae kawabwatukia waandishi huko "siongei na mtu" ...sema nimeangalia facial expressions ya engineer akihojiwa ni kama anahasira hivi ama kanuna kiufupi nuru haikuwepo!, huenda kikao kilikuwa chamoto..![]()

Watoto mnatukana wazee wenu sikuhiziJapo mpira wa kibongo umejaa upumbavu ila TFF ya Karia imejaa mavi kabisa.
Karia ni bonge moja la tatizo katika mpira wa nchi hii. Ni jitu moja lililojaa ubepari, visasi na misifa isiyokuwa na tija.
Mama Samia akitaka mechi ichezwe Arafat atapinga?😀😀..shida ni ushabiki maandazi.. ila ukweli usemwe zama Hizi za mama samia yanga Wana nguvu ya matamko yao kuliko simba.
Pole sanaHuyo jamaa nishamuweka ignore list
Sijui inakuwaje anakuja jukwaani kupata madini Yangu Bure na sitaki mazoea nae mtu mjinga
Moderators wananikosea
Mkumbushe, akina Mwandosya na Kapuya,Ungesoma UDSM miaka ile (bila kujali unasoma kozi gani)ukiingia unakutana na sifa zake,siasa ndio zinaharibu watu,huyo jamaa ni kichwa kweli,hata hiyo B+ aliipata ya Land Law ambayo mwalimu wake Prof Gamaliel Mgongo Fimbo huwa hatoi A,yaani angepata GPA ya 5.Hata huyo Arafat akiingia kwenye siasa utamkataa.Tunayo mifano ya akina Lipumba,Tibaijuka,Kighoma Malima,Mwakyembe ambao siasa zimefubaza umahiri wao.Kwa sasa ukimwondoa Prof Shivji na Chris Maina,hakuna nguli wa sheria za katiba anayemfikia Kabudi.