Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,981
- 2,359
Kuishia makundi ni udalilishaji mkubwa,hasa kwenye kombe ambalo Simba keshafika nusu fainaliKushiriki shirikisho ni aibu kubwa
Kuishia makundi ni udalilishaji mkubwa,hasa kwenye kombe ambalo Simba keshafika nusu fainaliKushiriki shirikisho ni aibu kubwa
😀😀..shida ni ushabiki maandazi.. ila ukweli usemwe zama Hizi za mama samia yanga Wana nguvu ya matamko yao kuliko simba.
"Kama mmechoka kucheza mpira basi mkaendelee na Sinema zenu"HATUCHEZI