Arabela naomba ufungue moyo wako nitonye hajiwezi

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,904
Kama ingekuwa ni ugonjwa ningesema nakaribia kukata kauli kwa jinsi mapigo ya moyo yanavyonienda mbio nimuonapo binti huyu. Arabela nakupenda sana nipe pumziko ndani ya moyo wako. Ni jambo lipi jema zaidi ya kumwambia mtu "NAKUPENDA"
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha nitonye.. Unamiliki mali zozote zisizohamishika..? Wana misemo yao hawa viumbe ati mwanaume suruali halipi..
 
nasikia bandama lake halifany kazi sasa kama unampenda upo tayar kumpa lako?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha nitonye.. Unamiliki mali zozote zisizohamishika..? Wana misemo yao hawa viumbe ati mwanaume suruali halipi..

Upendo mara nyingi hauangalii kile ilichonacho mimi nampenda sipo kwa ajili ya kumrubuni
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha nitonye.. Unamiliki mali zozote zisizohamishika..? Wana misemo yao hawa viumbe ati mwanaume suruali halipi..

da mwelezee sijui umajuaje?
Maana znazotembea anaweza kuwa ameazima!
 
Last edited by a moderator:
Mmh!! hivi yule Zubedayo Mbabe kaacha kutoa kucha za wakware wake???
 
tumejipanga kukabiliana nae kwa kuwa nia tunayo na uwezo tunao wa kupambana nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom