JC Freak
Member
- Dec 4, 2013
- 57
- 31
Nimefungua hii Report Book (RB) katika kituo cha Police Central Arusha hii ni baada ya simu yangu kupoteza mawasiliano siku ya jumamosi 22/08/2015, nikadhani kuwa simu imeharibika kumbe kuna mjanja/ wajanja wame swap number yangu kwa matumizi yao.
Walimpigia mke wangu simu huku kukiwa na mikwaruzo na kutosikilizana hivyo jamaa wakatumtumia wife sms na kumuuliza kwenye simu yake anashilingi ngapi? Akawajibu kiasi cha fedha alichokuwanacho kwenye simu yake. Jamaa wakamrudia kwa sms wakamwambia atume shilingi milioni moja, baada ya majibiziano mda mrefu mke wangu akaawambia hebu nipigia kwenye landline ya ofisini kwangu, hapo jamaa ndipo walipokwama jaribio lao.
Nilipopata taarifa nilienda Vodacom (mkabala na Stanbic Arusha) na kutoa ripoti na niliomba waifunge number na walifanya hivyo.
Cha kushangaza muda si mrefu simu ilirudi hewani na wakaendelea kutapeli watu wanaonipigia, hawajamaa hakuwakuwa wakipoke simu ila wanajibu kwa sms kuwa spika mbovu tuma sms. Halafu wanatuma sms kuwa ninamatatizo na hivyo kuomba kutumiwa hela kwa mpesa.
Leo nimeenda TCRA walaniambia niende Vodacom kupeleka malalamiko yangu.
Nimeenda Vodacom lakini sikupata majibu ya kuridhisha.
Je anetumia hiyo number ana nguvu kiasi gani mpaka ku override Vodacom system ambayo wao Vodacom waliifunga siku ya jumamosi?
Au ni staff wa Vodacom?
Niliomba wajaribu ku trace simu iko wapi sikupata jibu lolote
Nimeomba email kuwa nitume malamiko yangu officially wakaniambia kuwa wao ndio watakaotuma report HQ