kama kazz
JF-Expert Member
- Apr 28, 2015
- 1,080
- 583
Hao ni vodacom wenyewe sio matapeli..haiwezekani tapeli akaja kuswap line iliyopo hewani mkuu. wanashirikiana na wezi hao watu.
na mimi nilitumiwa msg kutoka kwa mtu naemfahamu alafu anaomba hela nitumie kapata tatizo sehemu nikipiga simu haipatika kupiga ya ndugu yake ananiambia jamaa yupo ndani kalala.
anapewa simu naongea nae anasema line yake imefungwa haipatikani..kumuuliza kuhusiana na hiyo pesa anakataa hakunitumia msg.
kama ningetuma ile hela wangetowaje nawakati kuna passwd wizi mtupu