Sauti ya Rondo
Senior Member
- Aug 1, 2009
- 127
- 226
Nimeliona andiko la kumchafua Waziri Membe na Jack Gotham ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake, lakini nataka niwahakikishie tu kwamba halina chembe ya ukweli hata kidogo.
1.Ni kweli Jack Gotham yupo Dodoma na tumekuja pamoja kwenye msiba wa baba yake mdogo marehemu mzee Adolf, tumeingia Dodoma Alhamis usiku saa 6 na tukapitiliza msibani tukakaa mpaka saa 8 usiku ndipo tuliporudi hotelini kujipumzisha.
Jana Ijumaa asubuhi na mapema tumedamka kwenye maandalizi ya asubuhi pamoja na matayarisho ya Ibada ambayo ilituchukua muda mpaka saa 11 jioni ndipo tulipoelekea makaburini kupumzisha mzee Adolf na kutoka makaburi ya eneo la Kikuyu mnamo saa 1 kasoro.
Saa 2 tulikuwa Dodoma Carnival kwa ajili ya chakula tukiwa watu zaidi ya 10 tuliotoka msibani pasipokuwepo na mwanasiasa yoyote katika jumuiko letu.Tumetoka huko saa 5 usiku na kurudi mahotelini.
Najiuliza ni muda gani matukio yote hayo yaliyotajwa yametokea kwa aina hiyo ya shughuli tangu juzi?Ni fabricated story yenye lengo mahsusi ya kutaka kuharibu mahusiano ya muda mrefu ya watu.
Ukweli uliopo ni kwamba yanayozungumzwa ni siasa chafu za kundi la Lowassa linaloongozwa na Apson Mwang'onda aliyekuwa Dg wa Tiss miaka ya nyuma.Hii ni baada ya kugundua kwamba sakata la Escrow litawageukia maana limegusa baadhi ya watu wao kama vile Andrew Chenge.
Pia jiulizeni je wanaoshabikia Escrow isomwe bungeni ni wapambe wa nani?Kangi Lugora,Deo Haule Filikunjombe na Peter Serukamba wanajulikana wazi ni watu wa Lowassa na sio Membe.Wanakosa hoja wanabaki kutengeneza hekaya za kumchafua Membe na Jack Gotham.
Apson Mwang'onda anapaswa aache kuwatumia kina Bashe kufanya na kueneza ujinga huu maana ataumbuka.Asifikiri anamharibia Membe au Jack zaidi wanajiharibia wao na mtu wao.Asitake tuongee ambayo yamebaki kuwa siri kwa nia ya kuepuka mivurugano ndani ya chama na serikali.
Akizidi kujilea katika umri wa ujinga wa uzeeni tutamlipua kabla hata hawajafikiria kumwambia mgombea wao aghairishe kuchukua fomu.