passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,784
- 13,007
nonsense,Kila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane.
Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na kupewa kesi nyingi feki, yaani amepitia mateso mengi kisa kiu yake ya mabadiliko.
Ni mtu mwenye maarifa mengi ambaye nchi yake imeamua kupuuza maarifa yake na maono yake kitu ambacho nchi iliyoendelea haiwezi kufanya hivyo.
Mimi kama mtanzania nimeamua kumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu nimeamua kujivunia uwepo wake duniani.lishukuriwe tumbo lililomzaa na Mungu aliyempa huo ujasiri.
'Ningependa mawazo yake yasikilizwe yangetusaidia sana'.
Mnamshangilia weeee anapozungusha mikono. Anapopelekwa selo nyie haoooo nyuma ya keyboard kusifu kisha mnaenda kulala na wake zenuKila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane.
Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na kupewa kesi nyingi feki, yaani amepitia mateso mengi kisa kiu yake ya mabadiliko.
Ni mtu mwenye maarifa mengi ambaye nchi yake imeamua kupuuza maarifa yake na maono yake kitu ambacho nchi iliyoendelea haiwezi kufanya hivyo.
Mimi kama mtanzania nimeamua kumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu nimeamua kujivunia uwepo wake duniani.lishukuriwe tumbo lililomzaa na Mungu aliyempa huo ujasiri.
'Ningependa mawazo yake yasikilizwe yangetusaidia sana'.
AminaHuyu ndugu (Tundu Lissu) ni Mtumishi wa Mungu Yehova wa kweli, asiyeona haya kusimama kwenye haki..
Huyu ndugu kiukweli ndiye aina ya wachungaji wa kweli anaowasema Yesu Kristo hapa katika Biblia - Neno la Mungu👇
Yohana 10:11-18 SUVWatu tunadhani utumishi wa uchungaji ni wale wa makanisani tu wengi wakiwa ni wajasiriamali wa dini na siasa, matapeli, walio jaa tamaa ya kupata Mali na tabia nyingine za hovyo. Hawa ndio waliopewa jina la "wachungaji wa mshahara" ktk muktadha wa maandiko haya..
".....Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwa-mwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia; na mbwa-mwitu huwakamata na kuwatawanya. Yule hukimbia kwa kuwa ni mtu wa mshahara; wala mambo ya kondoo si kitu kwake. Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi; kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo. Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja. Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu...."
Mchungaji mwema wa kondoo anayeelezewa hapa ni mtu yeyote anayebeba tabia na sifa za Yesu Kristo, mtetezi wa haki, mwenye kupinga na kukataa dhuluma na mapato ya dhuluma, mwenye upendo, aliye tayari kujitoa sadaka mwenyewe ikibidi kutoa hata uhai wake kwa ajili ya wengine...
Tundu Lissu ame - qualify na honestly, anastahili kupokea sifa hizi. Yesu Kristo anampenda na kijivunia watu wa namna hii hapa duniani...
Hebu tujaribu kufikiri kidogo..
Hivi ni binadamu wangapi katika kizazi hiki anayeweza kukataa TZS 10B za bure tu kwa sharti la usimseme vibaya mfalme, malkia au Rais wa nchi na serikali yake dhalimu na ovu..?
Aisee, very few. Tundu Lissu is one of them...
Na katika Biblia tunawaona watu kama;
👉Yusufu aliyekataa kulala (kufanya ngono na mke wa Mfalme (Rais Farao wa Misri) ambapo angekubali, bila shaka kwa kutumia influence ya mwanamke huyu obvious angepata upendeleo wa kupewa vyeo na labda maslahi mengine ya kimwili kama fedha nk. Lakini for sure kabisa, angefurahia kwa muda tu na baada ya hapo angejulikana na kuchinjwa Kisha kupoteza kila kitu utu, heshima, na uhai wake. Baada ya kushindwa jaribu hili, Mungu Yehova alimuinua na kumpa heshima kubwa Yusufu ktk nchi ya Misri kwa kufanyika baraka na mwokozi wa ulimwengu wote kutoka ktk njaa...!
👉Shadrack, Meshack na Abednego. Hawa walikuwa maliwali (ma - DC) wakati wa utawala wa Mfalme Nebukadneza wa Babel. Walikataa kuabudu sanamu ya mfalme ili kupata kupata upendeleo na maslahi mengine ya kiserikali. Hawakuona fahari kuwa na yote hayo huku wakiuza utu na heshima yao kwa kuabudu sanamu/uchawi wa Mfalme badala ya kusimama ktk HAKI ya Mungu kwa kumheshimu yeye tu. Kwa kukataa hayo, Mungu Yehova aliwaadhimisha na kuwainua sana kwa ajili ya utukufu wa Jina lake...
#Sina shaka yoyote kuwa, Tundu Lissu kwa kushinda jaribu hili kubwa sana sambamba na mateso, Mungu Yehova amemwandalia thawabu kubwa, heshima na utukufu usiomithilika...
#Hongera sana Mh. Tundu Lissu. Mungu Yehova katika Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai na mwokozi wetu yu pamoja nawe sasa na hata milele. Wewe umeushinda ulimwengu. Amina🙏🙏🙏..!
Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na kupewa kesi nyingi feki, yaani amepitia mateso mengi kisa kiu yake ya mabadiliko.💖Kila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane.
Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na kupewa kesi nyingi feki, yaani amepitia mateso mengi kisa kiu yake ya mabadiliko.
Ni mtu mwenye maarifa mengi ambaye nchi yake imeamua kupuuza maarifa yake na maono yake kitu ambacho nchi iliyoendelea haiwezi kufanya hivyo.
Mimi kama mtanzania nimeamua kumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu nimeamua kujivunia uwepo wake duniani.lishukuriwe tumbo lililomzaa na Mungu aliyempa huo ujasiri.
'Ningependa mawazo yake yasikilizwe yangetusaidia sana'.
Mwisho wa kunukuuNi mtu mwenye maarifa mengi ambaye nchi yake imeamua kupuuza maarifa yake na maono yake kitu ambacho nchi iliyoendelea haiwezi kufanya
Ufunuo wa Lissu au Mateso ya Lissu kwa WatanganyikaVITABU vya dini vingekuwa na versions zinazoendelea kuandikwa TUNDU LISSU angekuwepo kwenye tolea la nyakati hizi. On the way to San Francisco wadau. Ila Leo jamiiforums ilizingua kidogo sijui Kwa huko Tanzania Maxence Melo hili mliliona?
Mkuu hizi fikra ni umerithi au umejifunzia ukubwani!Matusi ndio silaha yenu kuu huko CDM.
Lkn haibadili ukweli kuwa mnaishia kumshangilia tu baada ya hapo anakwenda selo peke yake na nyie twawaona tu mko bar
Mungu amlinde next President Tundu LissuKila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane.
Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na kupewa kesi nyingi feki, yaani amepitia mateso mengi kisa kiu yake ya mabadiliko.
Ni mtu mwenye maarifa mengi ambaye nchi yake imeamua kupuuza maarifa yake na maono yake kitu ambacho nchi iliyoendelea haiwezi kufanya hivyo.
Mimi kama mtanzania nimeamua kumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu nimeamua kujivunia uwepo wake duniani.lishukuriwe tumbo lililomzaa na Mungu aliyempa huo ujasiri.
'Ningependa mawazo yake yasikilizwe yangetusaidia sana'.
Ni kichwa cha nani sasa!Be a Man, Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa miguu.