Apps zenye kutunza kumbukumb

Apps zenye kutunza kumbukumb

SirLuke

Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
75
Reaction score
8
Habari za leo waheshimiwa! Natumaini kuwa ni wazima wa afya. Samahani sana mimi naomba kujuzwa kama kuna apps ambazo unaweza kuweka kwenye simu (android) zikawa na uwezo wa kutunza kumbukumbu kama;
*Picha
*video
*music
*document, n.k

vitu vyote hvyo vikakaa ndani ya hiyo app bila memory card kuongezeka ujazo wowote ule. Au kama itaongezeka iwe kidogo.

Pili na app nzuri ambayo unatunza namba za simu hata ikitokea umeibiwa simu unapakua tena app yako na unayakuta hizo namba zako za simu.

Ahsanteni sana, naamini mtanisaidia waheshimiwa!..
 
android contact zinatunzwa na account yako ya google kama simu itaibiwa then ukinunua mpya ukieka account ile ile ya google contacts zinarudi.

kama still unataka apps nenda store search contacts backup cloud kuna app itakuja ina kama mawingu ya light blue kwenye icon.

kuhusu kusave media na document zako download app yoyote kati ya hizi
-google drive
-onedrive
-dropbox

kama media na document zako ni sensitive narecomend hio onedrive
 
ahsante sana mkuu!..
 
hizo vitu vyote viwili vinaweza kufanyika na Google account yako uliyoqeka kwenye simu wakati wa configurations

kwa ajili ya ku save contacts, wakati una save chagua Google account (usitumie SIM au phone). hapo contacts zitakua kwenye cloud hata ukibadilisha simu utakuta contacts zote

Ku save picha Na other files download app inaitwa drive sync. upload kila files kwenye Google account (depends on settings)

Habari za leo waheshimiwa! Natumaini kuwa ni wazima wa afya. Samahani sana mimi naomba kujuzwa kama kuna apps ambazo unaweza kuweka kwenye simu (android) zikawa na uwezo wa kutunza kumbukumbu kama;
*Picha
*video
*music
*document, n.k

vitu vyote hvyo vikakaa ndani ya hiyo app bila memory card kuongezeka ujazo wowote ule. Au kama itaongezeka iwe kidogo.

Pili na app nzuri ambayo unatunza namba za simu hata ikitokea umeibiwa simu unapakua tena app yako na unayakuta hizo namba zako za simu.

Ahsanteni sana, naamini mtanisaidia waheshimiwa!..
 
android contact zinatunzwa na account yako ya google kama simu itaibiwa then ukinunua mpya ukieka account ile ile ya google contacts zinarudi.

kama still unataka apps nenda store search contacts backup cloud kuna app itakuja ina kama mawingu ya light blue kwenye icon.

kuhusu kusave media na document zako download app yoyote kati ya hizi
-google drive
-onedrive
-dropbox

kama media na document zako ni sensitive narecomend hio onedrive

Na mimi nauliza kuna app inayotunza sms hata nikipoteza simu sms zinakuwepo
 
Kama una vitu vingi zaidi ukihisi google drive na onedrive hazitoshi. Wanatoaga (15gb) basi chukua mega app. Search playstore wanatoa gb 50 for free... Ni nzuri na ufanisi wa utunzaji siri ni wa hali ya juu pitia hapa mega.co.nz
 
dah! mi nawashukrun sana wakuu na Mungu awabariki sana.
 
android contact zinatunzwa na account yako ya google kama simu itaibiwa then ukinunua mpya ukieka account ile ile ya google contacts zinarudi.

kama still unataka apps nenda store search contacts backup cloud kuna app itakuja ina kama mawingu ya light blue kwenye icon.

kuhusu kusave media na document zako download app yoyote kati ya hizi
-google drive
-onedrive
-dropbox

kama media na document zako ni sensitive narecomend hio onedrive

nafanyaje ili kuhakikisha contacts zangu zinakuwa copied kwenye Google akaunt yangu?
 
hakikisha kila ukisave contact uwe unaisave kwenye google account kama hii pic inavyoonyesha
PzaPi6U.jpg
 
Nimekuelewa vizuri Chief-Mkwawa kuliko kuwa na App ya backup beta this way ili ku save space kuliko kijaza App nyiingi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa window phone haihtaj app bali setting Tu;hamieni kwa wazee wa productivity
 
Back
Top Bottom