Kwa ulimwengu tuliopo sasa, ni vigumu kwa mtu/jamaa kukukopesha hela kirahisi, ndipo umuhimu wa hizi apps, microfinances, banks zinakuwa na umuhimu.
Kwa mazingira hayo, tatizo si wao, tatizo liko kwako; umechukua cha watu, warudishie ndani ya muda mlio kubaliana.
Vinginevyo, hao unao waomba wakusaidie kuwafungia hao, ndio ulitakiwa uwafuate mwanzoni ili wakukopeshe.