Tutaaminije kama sio ww mwenyewe muhusika???Habari saizi ndugu zangu
Nina ndugu yangu kasoma PCB akapata dv2 ya points 12 BIOS C CHEM D NA PHYS E
Mnamshauri aaply coz zipi coz first round & second round zote ameachwa
Naombeni msaada wenu please..
Hili ni jibu sahihi sanaAmeachwa kozi zipi apply?.......kama anaamini kufanikiwa kupitia elimu asome alichokosa kwenye ngazi ya diploma,ila kama anaamini kufanikiwa kupitia exposure,asome degree yeyote ya chuo kikuu
wewe unaamini kwenye nini apo mkuu?Ameachwa kozi zipi apply?.......kama anaamini kufanikiwa kupitia elimu asome alichokosa kwenye ngazi ya diploma,ila kama anaamini kufanikiwa kupitia exposure,asome degree yeyote ya chuo kikuu