application za kuchukua coordinate za kiwanja

application za kuchukua coordinate za kiwanja

log e

Member
Joined
Apr 5, 2018
Posts
27
Reaction score
18
habari wdau ukiachana na Google map na Google earth kuna application za kuchukua coordinate za kiwanja ambazo zinaendana na mfumo wetu wizara ya ardhi
 
UTM Geomap hii ni hatari na pia ni offline me huitumia sana mwisho jana.
 
Jaribu " Locus Map Classic" Pro version ni Mwisho wa matatizo. Hutojutia.
 
Back
Top Bottom