Ngoja nichek Mkuu! Shukranimkuu heb download broweser moja inaitwa Torch hutojutia, ukiplay mfano video youtube cheki kulia juu kna mshale unaonesha download iko fasta mbaya hasa net ikikaa poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vp kwa pc pia ipo iyo torch browser na inaweza fanya kazi iyomkuu heb download broweser moja inaitwa Torch hutojutia, ukiplay mfano video youtube cheki kulia juu kna mshale unaonesha download iko fasta mbaya hasa net ikikaa poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta showbox mzeeHabarini Wakuu!
Msaada kama Kuna Application yeyote ya Kupakua (Download) Movie. Binafsi kama wengi walivyo na Ugonjwa wa Kupenda Soka namimi Movie ndiyo Ugonjwa wangu!
Hizi njia zingine zinanisumbua za kupakua Movie.
ndio mkuu hata mm ndo nnaitumia kwny pc iko fresh snMkuu vp kwa pc pia ipo iyo torch browser na inaweza fanya kazi iyo
Sent using Jamii Forums mobile app