Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
We ndio umepotea mbona
Hahah eti muuza mauaMuuza maua
Habari yako![]()
Sawa... usiku mwema
😀😀😀😀
Yaani hapa najiuliza ataanza na jina gani kuita kabla hajamalizia lile jina la serikali.
Totoo uwe na adabu sasa hivi ban ni nje nje.
Ukimnyima picha ban
Ukimcheka ban
Yaani shida tupu
🤔🤔Mie Niko poa hofu kwako..
Hvi huwezi hata kunidanganya U miss me too!!?
Sent using Jamii Forums mobile app