Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,407
Shauri yako...mie sahvi namuogopa kama ukomaYaani ndo naanza kuamini maneno yake.
Huyu mtoto nimemshindwa![]()



Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri yako...mie sahvi namuogopa kama ukomaYaani ndo naanza kuamini maneno yake.
Huyu mtoto nimemshindwa![]()



Hapa Sasa kwenye sauti
Kwa sauti gani??
Yaani niko na maswali mengi sana







Melo akisoma hapa atacheka tu mwenyeweYaani ndo naanza kuamini maneno yake.
Huyu mtoto nimemshindwa![]()





Ushafkisha picha ngp kwenye album yako
Me pia... hujambo lakini


Yaani siku hizi ntakuwa nampita tuHapa Sasa kwenye sauti
Na sauti yangu ninavyoijua
Halafu Ngoja nimwite nimwambie wasisahau kuongeza VN hapa
Sent using Jamii Forums mobile app




Mambo yako
Kwani hii story inamhusu yeye?







Yamefika mangapi?
Yaani maswali yanazidi kuongezeka huku kichwani








Kwani hii story inamhusu yeye?
Mimi nachangia tu hata sijui story ilianzia wapi![]()








Hivi hizi picha unapeleka wapi?

