Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,146
- 190,620
ndio hivyo yaniAiseee
ndio hivyo yaniAiseee
Sasa ukitaka kushangaa hadi uniquote kwa huo mshangao wakati sisi tunamaliza juu kwa juu tuTuwape pole nyie mnaotumia vitu visivyoeleweka
Sasa Mimi emoj za "wow" za nini,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nishangae ili iwejeSasa ukitaka kushangaa hadi uniquote kwa hjo mshangao wakati sisi tunamaliza juu kwa juu tu
Kwenda hukoJamani kushangaa kila mtu silazima ashangae au nyie wenzetu umri uliosogea hamshangaagi?





Situmii dude lenu mimiEeh wazee wa doria mtuambia kama hamshangai
Unatumia browser kuangalia notifications alafu unatumia App kureply. Duh!

Na hizi doria ikifika usiku sijui mnaonaje au mnatumia yale makofia ya Migodini? 😀Situmii dude lenu mimi
Nacheza na app tu..kuzunguka zunguka ndio Raha yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi weweNa hizi doria ikifika usiku sijui mnaonaje au mnatumia yale makofia ya Migodini?![]()







Hahaha huyo ni mimiEeh wazee wa doria mtuambia kama hamshangai
Unatumia browser kuangalia notifications alafu unatumia App kureply. Duh!



App hovyo sana sometimes
chombo hewani ipo fit kila idara au?
Wazee wa kusubiri tu![]()





tuache