Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Vyote vyote tu Ni shida
Basi wewe shida yako ni simu na sio browser
View attachment 1425217
Mbona ipo kama hivyo, kama kuna mtu huwezi kumuangalia jua ni yeye kazuia watu wasimpekue hata kwenye app hutoweza kumcheki.
Kusubscribe tread huku kinaitwa watch thread, ukiwatch utakuwa unapata notification
siunaona sasa, ndio maana anataja vitu vingi hata sisi hatujawahi kuviona
siunaona sasa, ndio maana anataja vitu vingi hata sisi hatujawahi kuviona
Vyote vyote tu Ni shida
Hata kabla ya kutumia hii tecno yangu browser ilinishinda
Naomba msisingizie kabati yangu tafwadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumfanyie harambee nini?Huyo na simu yake kuna muda hata bahasha ya sms haipati
Hee KwendaaaHuyo na simu yake kuna muda hata bahasha ya sms haipati
Hivi unatumia itel ya aina gani?
Tumfanyie harambee nini?
Shwain zenusimu kama nini?
Itel kote hukoHivi unatumia itel ya aina gani?
Yesu Yesu wanguHivi hii emoj ya mwisho ulikusudia kuiweka au imeongezwa tu na simu bila wewe kujua?
Huyo anatumia App sababu ya umri wake tu 😀Mtuache
Carba pamoja na kuwa timu s bado anatumia App..
Mimi Ni Nani hata nisitumie App?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba simu yake ina add vitu sio?Hivi hii emoj ya mwisho ulikusudia kuiweka au imeongezwa tu na simu bila wewe kujua?
Kwamba simu yake ina add vitu sio?
Waaah!Shwain zenu
Mkanipe iPhone mie ntaweza?
Hii yenyewe tu inanipeleka mputa Mara Google chrome sioni nimeificha wapi ila Kwenye setting ipo
Sent using Jamii Forums mobile app