Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ndio mana baadhi ya app zinajificha
Kwamba..?
Tatizo simu yako kama kabati vile
πππMbona Sijamaliza pale Kaka
Mambo mengi tuu, wanao-like wanalistiwa pale (unnecessary thing) kwa wanaobrowse, huku Kwenye App ukitaka kufanya huo umbeaunabonyeza namba inakuletea List
Ndio lipo linaoneoaka kwenye kila mwanzo wa jukwaa pale juu Wame-Pin Top
Oooohh Haya Haya MkuuView attachment 1425209
Hiyo picha hapo ni kukanusha ulichosema kuwa kwenye browse huwezi kupata new post na new comments kutokaka majukwaa tofauti.
Yote uliyoyasema browse tunayo na zaidi ikiwa ni pamoja na kushare picha na video km hivyo, kuedit comment, kulike, kidislike, kuwow n.k.
Na niliwahi kusikia nyie wa app hamuwezi kutizama videos
Kubwa Sana yaaniTatizo simu yako kama kabati vile
Ila usijali endelea kutafuta utaikuta sehemu imejificha,maana simi yako ni kubwa sana
Kuna mtu aliomba wawekewe opt ya dislike me nikamuoneshea kwa kitendo...nikaona qoute ya mwingine kamwambia dislike hiyo kakupa Depal sema ule Uzi umenipotea.
Kingine Browser hatuwezi kusubscribe
Hatuwezi kumfukunyua mtu kuona nyuzi zake/ comments kama kwenye app
Kina Davet mpo kweli jiko la mkaaOooohh Haya Haya Mkuu
.
Navyojua Mimi kabla ya App ilikua hiyo Website so App imekuja as Simplest Method
Ni Kama Jiko la Mkaa na Gesi wote tutapika Lakin kwa njia tofauti
MtuacheSiunaona sasa
Features nyingine za simu zenu alafu mnasingizia za Jf kwa browser
Tunateleza Kama nyoka halafu unasema hatuenjoy?
Nyie watu wa App bwana hamuenjoy ile sanaa ya ufunguaji wa pages
Hiyo nyingine tumewaachia andaeitiniEeh! Haina haja ya kujitesa sindio maana mmerahisishiwa kazi
Kubwa Sana yaani
Ilivyokuwa na maajabu sasa ntashangaa zimerudi naziona
Au ndo maana kweli nahangaika kutafuta thread kwenye browser maana infinix hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi web ndio jiko la gesi na app ni jiko la mkaa, nimeona malalamiko ya app ndio mengi kuliko ya browserOooohh Haya Haya Mkuu
.
Navyojua Mimi kabla ya App ilikua hiyo Website so App imekuja as Simplest Method
Ni Kama Jiko la Mkaa na Gesi wote tutapika Lakin kwa njia tofauti
Mtuache
Carba pamoja na kuwa timu s bado anatumia App..
Mimi Ni Nani hata nisitumie App?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nina mashaka sana ndio maana nimekuambia sihamini sana mipira ya kurudi