Sasa bora huyo ya chakula
No rahisi kuacha kutumia hicho chakula..
Ya pua unakuwa hujui Nini kinasababisha na hata ukijua labda mf inasababishwa na harufu ya manukato,huwezi ikwepa maana hata ukiacha wewe kutumia huko njiani utakutana na watu wananukia..labda uwe unaishi ndani tu bila kutoka.
Halafu mziki wake Sasa si wa kitoto hasa usiku..nyama zinavimba zaidi unashindwa kuvuta hewa vizuri.