Sasa huyu dkt angenambia tu yeye hakati.
Amenizungusha wee..
Dkt wa mwanzo nilimuelewa vizuri maana alisema ni ngumu kujua Nini kinasababisha na ni ngumu kuepuka maana ndio mazingira unayoishi kila siku.
Ila pamoja na yote, perfume siachi wallahi
Sent using
Jamii Forums mobile app