Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 710
Habari zenu,
Kuna Dogo kaniuliza hapa kuwa hivi application letter ya Tra unaweza kuandika kwa mkono harafu ndiyo uiscan au unatype harafu unaweka signature ndiyo unaiscani?
Mwenye kuelewa please maana mie nimemjibu kuwa yote sawa tuuu shida iwe na signature tuu