wisdom empire
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 337
- 288
Sasa address hiyo ni ndefu mno.anayejua namna ya kuiandika msaada tafadhali
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Duuu!! Mkuu hata kufupisha address usaidiwe?! anyway kama unaandika kwa mkono itabidi page layout orientation iwe Landscape!. Angalia vitu gani mhimu kwenye adress isitoshe haiwezipotea maana haipiti posta,ni formalities tu!Sasa address hiyo ni ndefu mno.anayejua namna ya kuiandika msaada tafadhali
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Hata kama uliandika kwa kirefu hakuna shida, labda kuchukua nafasi kubwa ambalo sio kosa.Sasa address hiyo ni ndefu mno.anayejua namna ya kuiandika msaada tafadhali
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app