Apple yazindua simu tatu. iPhone X, iPhone 8 na iPhone 8 Plus. Zifahamu simu hizo kiundani hapa

Wengi wanaongea kuhusu iphone ila hawajawahi kutumia yani no hearsay, au kama katumia kaitumia nusu saa na bado akiwa na mawazo akitegemea i function kama android.
Ni sawa mtu wa windows umpe pc yenye ubuntu au mac OS atasema ni ngumu na mbaya kwakuwa anawaza iwe kama windows.
mkuu watu wanataka self driving car, na hata Apple tafiti zao sasa hivi ni huko, na ni timing tu sidhani kama technology haipo, 5G sio mobile first itabase sana kwenye magari na IOT hivyo tegemea 5G ikitoka kuwe na magari ya ajabu ajabu mengi sana, sasa hivi naziona prototype za kila namna.
 
Kweli mkuu lakini nadhani electric self driving car maana tunakoelekea nadhan fuel cars zitapigwa chini.
Ile gari ya tesla iliyoua report pia ina blaim kuwa system ya gari pia ilichangia kusababisha ile ajali
 
Sio kwamba hajui, ila ni ubishi
mbona mnataka kuforce maisha ya watu yawe mnavyotaka nyie? movie yangu ya kwanza kabisa nimeidownload na E71. way before sijamiliki laptop, nimesoma shule na simu tu nimedownload mamia kama sio maelfu ya movie kwenye kisimu changu hicho na zile line zetu maarufu za tigo zilikuwemo humu jukwaani. nimenza kutumia pc mwaka 2010,

sio mimi tu naamini majority ya watumiaji wa simu wanadownload media mbali mbali kwenye simu zao, hasa nchi zenye population kubwa kama India.

hii study ya india nchi yenye watu zaidi ya bilioni 63% wana prefer kuangalia movie na series kwenye simu

62% Of Indians Prefer To Watch Movies Or TV Serials Instead Of Short Clips On Their Mobile Phones

na tena wanasema inafika mpaka 75% kwa audience vijana,
 
si muda wote uko na pc, si kila kitu ufanye na pc mkuu, yani kijifile cha mb kadhaa nacho pia mpaka niwashe pc? nimesafiri episode mpya ya series imetoka mpaka niwe na pc?

asilimia 100 nina uhakika iphone hazina miracast, zina dlna na airplay tu ambazo ni dhaifu sana compare na wifi direct na miracast zinazopatikana kwengine. kifupi ukiwa dlna unastream kitu ambacho app yenye dlna inasuport, mfano kama ni video player basi utacast tu video player na video ambazo hio player unacheza, wakati miracast inastream simu nzima ucheze game, uplay video, sijui unangalia mpira, hata calculator itaonekana kwenye tv na miracast.

hio ni opinion yako mkuu lakini wapo mamilioni kama hawafiki mabilioni wanaopenda themes, ndio maana unakuta custom rom kama cyanogen inaweza fika hata user milioni hamsini.

na kupenda pure android hakuhusiani na themes sababu android yako inaweza kuwa pure na ikawa na themes vile vile.

mkuu ukisema tu download manager haimaanishi zote zipo sawa, idm ni bora zaidi ya download manager ya chrome au firefox sababu
-inagawa download kwa thread
-ina resume ulipoachia
-ina capture video
-unaweza panga download zako kwa foleni
-unadownload mafile makubwa etc
ios App store kuna download manager angalau yenye sifa chache za hapo juu? hakuna, ila playstore zipo, utapata kina adm na wenzie.

nimeshaeleza hapo juu iphone hazina miracast

so huna uhakika? ppsspp, dolphin na emulator nyengine kubwa zinafanya kazi kwa ufasaha tu ukiwa na right hardware unaweza cheki youtube kwa ushahidi zaidi

kucheat game ni part ya kucheza game kama hufahamu mkuu, mimi nimecheza game moja linaitwa final fantasy iv lipo android na ios, utakusanya silaha zote utaishia asilimia 99, fanya ufanyavyo hutamaliza asilimia 100, njia pekee ya kupata hizo silaha na kumaliza game ni kuedit kwa hex na kuziweka, tena silaha zenyewe zina majina ya developers wa game, akiyama armor na tokita sword, hapo mtu wa ios labda ujailbreak simu yako ila hutaweza kutoka hapo.

na pia usimpangie mtu kwamba kinachofanya ios ndo hicho hicho kinafaa kufanywa, ni uamuzi wa mtu kuamua acheat game lake au asicheat anatakiwa mtu awe na choice na sio kumuamulia.

-smart file managers
-record phone calls
-widgets
-true multitasking
-launchers
-kuclear app related cache
-kuchagua default apps etc
Nimegundua unataka iOS ifanane Android, na haiwekani hata ukiforce,
Smart file manager ya nini wakati Apple anajali security? ndo maana kaweka file manager kwa iCloud tu sio kwamba haiwezi kuwekwa, bahati mbaya sana Android anadevelope kwenda like iOS OS ndo maana ukitafuta toleo la Android ya Gingerbread uje ufanye comparison na toleo la Oreo utaona jinsi gani restrictions zilivyoongezeka na si ajabu itafika kipindi hiyo file manager mtaitumia kwa masharti sana
Record phone calls? Hivi umeona ni kitu cha maana sana kwenye simu? kwa nini urecord phone calls?
Widgets? Mara ya mwisho kutumia iOS ilikuwa ni lini ambapo hujui kuwa iOS ina widgets? au unataka zifanane na za android ndo uamini ni widgets?
True multitasking? Mbona ipo tangu iOS 10......!!!!! au kwa sababu haipo kwenye iPhone? ndo iPhone haijawekewa hiyo true multitasking, ni kwa sababu gani? ni kwa sababu ya size ya kioo tu, kioo cha 4.7" au 5.5" unaanzaje kuenjoy true multitasking? ndio maana akaweka kwenye iPad maana anajua kuna kioo cha kutosha kujidai na true multitasking. Hapa utagundua kuwa Apple hawakurupuki na sio kwamba hawajaweza kufanya
Launcher? iOS UI ni launcher tosha ndo maana hata android utakuta clone za iOS
kuclear app related cache.......! siku iOS eco-system ikianza kucomprimize bila shaka wataweka hiyo features, hata kuwe na kiasi gani caches kwenye iOS huwezi ona app ina misbehave, au utasikingizia kigezo cha storage iwapo utakuwa hujui umuhimu wa caches
Kuchagua default app? Hii ni iOS bhana kwa nini unaforce kila kitu kitake advantage kwenye system?
Njoo na kingine tena
 
mbona mnataka kuforce maisha ya watu yawe mnavyotaka nyie? movie yangu ya kwanza kabisa nimeidownload na E71. way before sijamiliki laptop, nimesoma shule na simu tu nimedownload mamia kama sio maelfu ya movie kwenye kisimu changu hicho na zile line zetu maarufu za tigo zilikuwemo humu jukwaani. nimenza kutumia pc mwaka 2010,

sio mimi tu naamini majority ya watumiaji wa simu wanadownload media mbali mbali kwenye simu zao, hasa nchi zenye population kubwa kama India.

hii study ya india nchi yenye watu zaidi ya bilioni 63% wana prefer kuangalia movie na series kwenye simu

62% Of Indians Prefer To Watch Movies Or TV Serials Instead Of Short Clips On Their Mobile Phones

na tena wanasema inafika mpaka 75% kwa audience vijana,
Hujiulizi wakati unamiliki hiyo simu kipindi hicho upatikanaji wa PC ulikuwaje ukilinganisha na wakati wa sasa? hata kuipata hiyo simu ya Nokia E71 upatikanaji ulikuwaje wake na umiliki wake ilikuwaje compare na sasa, kama ulikuwa unatumia wakati huo ulikuwa right lakini si kwa sasa
 
Nimegundua unataka iOS ifanane Android, na haiwekani hata ukiforce,
Smart file manager ya nini wakati Apple anajali security? ndo maana kaweka file manager kwa iCloud tu sio kwamba haiwezi kuwekwa, bahati mbaya sana Android anadevelope kwenda like iOS OS ndo maana ukitafuta toleo la Android ya Gingerbread uje ufanye comparison na toleo la Oreo utaona jinsi gani restrictions zilivyoongezeka na si ajabu itafika kipindi hiyo file manager mtaitumia kwa masharti sana
Record phone calls? Hivi umeona ni kitu cha maana sana kwenye simu? kwa nini urecord phone calls?
Widgets? Mara ya mwisho kutumia iOS ilikuwa ni lini ambapo hujui kuwa iOS ina widgets? au unataka zifanane na za android ndo uamini ni widgets?
True multitasking? Mbona ipo tangu iOS 10......!!!!! au kwa sababu haipo kwenye iPhone? ndo iPhone haijawekewa hiyo true multitasking, ni kwa sababu gani? ni kwa sababu ya size ya kioo tu, kioo cha 4.7" au 5.5" unaanzaje kuenjoy true multitasking? ndio maana akaweka kwenye iPad maana anajua kuna kioo cha kutosha kujidai na true multitasking. Hapa utagundua kuwa Apple hawakurupuki na sio kwamba hawajaweza kufanya
Launcher? iOS UI ni launcher tosha ndo maana hata android utakuta clone za iOS
kuclear app related cache.......! siku iOS eco-system ikianza kucomprimize bila shaka wataweka hiyo features, hata kuwe na kiasi gani caches kwenye iOS huwezi ona app ina misbehave, au utasikingizia kigezo cha storage iwapo utakuwa hujui umuhimu wa caches
Kuchagua default app? Hii ni iOS bhana kwa nini unaforce kila kitu kitake advantage kwenye system?
Njoo na kingine tena
hujajibu hoja hata moja hapo mkuu zaidi ya kuhalalisha limitation za ios ni kawaida.
1. usichanganye split screen multitasking na true multitasking ni vitu viwili tofauti,
-split screen multitasking ni uwezo wa kurun apps mbili kwa pamoja na ndio unayosema wewe
-true multitasking ni uwezo wa kuruhusu background process zifanye kazi bila ku hibernate hata kama hutumii hio program, Ios ina app switcher tu.

u
hapa hoja ilikuwa ni ecosystem, nakukumbusha kila saa hoja sababu sitaki tutoke nje ya mada,
-unaposema ios 10 ni launcher tosha means hakuna launcher huko store kwa lugha nyengine hakuna ecosytem ya launcher
-ningeomba unioneshe hizo widgets za ios nifanye comparison na za android tuone ipi ni ecosystem bora
-hakuna phone record means hakuna ecosystem hio store
-file manager ipo icloud means hakuna hizo manager store
-default apps vile vile developer hatahangaika kuzitengeneza sababu haruhusiwi aka hakuna hio ecosystem

mkuu hatubishani chengine hapa tupo kwenye ecosystem.
 
Hujiulizi wakati unamiliki hiyo simu kipindi hicho upatikanaji wa PC ulikuwaje ukilinganisha na wakati wa sasa? hata kuipata hiyo simu ya Nokia E71 upatikanaji ulikuwaje wake na umiliki wake ilikuwaje compare na sasa, kama ulikuwa unatumia wakati huo ulikuwa right lakini si kwa sasa
zamani ni rahisi kuwa desktop kuliko smartphone, zilikuwa expensive sana. laptop kweli zilikuwa adimu. desktop za pentium 3 zilikuwa kibao mitaani.
tu assume ni kweli, je kwanini sasa hivi still watu wanatumia simu?

siku hizi matumizi yamejigawa
-creation ni pc
-consumption simu
 
hujajibu hoja hata moja hapo mkuu zaidi ya kuhalalisha limitation za ios ni kawaida.
1. usichanganye split screen multitasking na true multitasking ni vitu viwili tofauti,
-split screen multitasking ni uwezo wa kurun apps mbili kwa pamoja na ndio unayosema wewe
-true multitasking ni uwezo wa kuruhusu background process zifanye kazi bila ku hibernate hata kama hutumii hio program, Ios ina app switcher tu.

u
hapa hoja ilikuwa ni ecosystem, nakukumbusha kila saa hoja sababu sitaki tutoke nje ya mada,
-unaposema ios 10 ni launcher tosha means hakuna launcher huko store kwa lugha nyengine hakuna ecosytem ya launcher
-ningeomba unioneshe hizo widgets za ios nifanye comparison na za android tuone ipi ni ecosystem bora
-hakuna phone record means hakuna ecosystem hio store
-file manager ipo icloud means hakuna hizo manager store
-default apps vile vile developer hatahangaika kuzitengeneza sababu haruhusiwi aka hakuna hio ecosystem

mkuu hatubishani chengine hapa tupo kwenye ecosystem.

Aliyekwambia iOS haina background process ni nani? Mbona ndo the best device kwa background running maana ina processing power kubwa, hii mbona ipo tu inategemea na application ilivyokuwa configured , mfano niki play movie vlc nikahit Home movie inaendelea background Kama kawaida , same applies kwa apps nyingine .

So far split screen kwenye simu haina maana kwa sababu screen ni ndogo sana labda kwa vitu vichache ni mara chache , usitegemee mtu a run excel spreadsheet kwenye simu , huyo mtu atakuwa hayuko serious , au accounting software kwenye simu au aandike dissertation kwenye simu??

Launcher kwenye simu ni meaningless na disadvantage zake unazijua, kujaza tu Store ila trust me hazitaongeza chochote kwenye cm zaidi ya kuleta pop up adverts zisizo na maana ,launcher ya apple by default ni perfect ukijumlisha na spotlight search ambayo Android wanaiota

Nafikiri unajua madhara ya kuwa na file system ambayo iko exposed Kwa hiyo Hapa ni trade off uruhusu file system ya hivo security na stability iwe ndogo and vice versa. Hapa utakubaliana na mimi kwamba Android wana struggle kwenye security na ni almost hawana security yan mtu anaweza kutoa password ya simu any time bila hata ku reset , hizo pattern na password plus accounts za Android zinatika kirahisi na hujitaji hata reseting. File system yenu bado ina mapungufu mengi sana kwa maana nzima ya advanced operating system , mtu anaweza kukuta simu yako akaweka application wewe bila kujua, hii ni weakness kubwa , mtu anachomeka simu kwenye pc anaona kila kitu , matatizo haya

Widgets sitaziongelea maana unajua iphone inazo tena mda mrefu, tofauti ni kwamba kwa Android unawasha simu unakutana na widgets wataki iphone unakutana na Home screen Kwa hiyo husumbuki kuanza kutoa widgets ndo uanze kutumia simu. Mfano nataka kutuma sms , nawasha simu inatakiwa inipeleke Home screen nitume sms siyo nianze kukutana na widgets zikinitaka niangalie weather sijui vitu gani na ndo maana Android pure hawataki haya mambo.

iphone is always ready to go and never disappoint !

Matatizo ya Android ni makubwa mno
Security ni zero
Haziko organized
Stores zao ni dampo kila mtu anaweka app yake
Hazina assistive Touch
No 3D Touch
Hazina software ya kueleweka Kama iTunes
Hazina updates
Simu hazina consistence , yan leo ina hiki kesho hakipo
Hazina software optimization , ziko nyingi sana mpaka developers inabidi watoe application za “cha wote” Hapa ubahatike ifanye kazi kwako

“ in short Android phones are good at everything which is a big problem”
 
Aliyekwambia iOS haina background process ni nani? Mbona ndo the best device kwa background running maana ina processing power kubwa, hii mbona ipo tu inategemea na application ilivyokuwa configured , mfano niki play movie vlc nikahit Home movie inaendelea background Kama kawaida , same applies kwa apps nyingine .

So far split screen kwenye simu haina maana kwa sababu screen ni ndogo sana labda kwa vitu vichache ni mara chache , usitegemee mtu a run excel spreadsheet kwenye simu , huyo mtu atakuwa hayuko serious , au accounting software kwenye simu au aandike desecration kwenye simu??

Launcher kwenye simu ni meaningless na disadvantage zake unazijua, launcher ya apple by default ni perfect ukijumlisha na spotlight search ambayo Android wanaiota

Nafikiri unajua madhara ya kuwa na file system ambayo iko exposed Kwa hiyo Hapa ni trade off uruhusu file system ya hivo security na stability iwe ndogo and vice versa. Hapa utakubaliana na mimi kwamba Android wana struggle kwenye security na ni almost hawana security yan mtu anaweza kutoa password ya simu any time bila hata ku reset , hizo pattern na password plus accounts za Android zinatika kirahisi na hujitaji hata reseting. File system yenu bado ina mapungufu mengi sana kwa maana nzima ya advanced operating system , mtu anaweza kukuta simu yako akaweka application wewe bila kujua, hii ni weakness kubwa , mtu anachomeka simu kwenye pc anaona kila kitu , matatizo haya

Widgets sitaziongelea maana unajua iphone inazo tena mda mrefu, tofauti ni kwamba kwa Android unawasha simu unakutana na widgets wataki iphone unakutana na Home screen Kwa hiyo husumbuki kuanza kutoa widgets ndo uanze kutumia simu. Mfano nataka kutuma sms , nawasha simu inatakiwa inipeleke Home screen nitume sms siyo nianze kukutana na widgets zikinitaka niangalie weather sijui vitu gani na ndo maana Android pure hawataki haya mambo.

iphone is always ready to go and never disappoint !
msitoke nje ya mada jamani, hatupimi nani zaidi tunaanglia ecosystem ipi ipo na ipi hakuna,

nilisema hapo nyuma App store ni nzuri mtu wa kawaida ila ukitoka nje ya whatsapp na snapchat ukaenda kwa geeks na super user android ni nzuri zaidi.

nimewaletea ushahidi, sitaki kuambiwa kwamba sijui hamuhitaji launcher wala split multitasking, jibu ni kwamba hiyo ecosystem hamna, na kama hakuna means App store imepitwa na Playstore kwenye hio ecosystem. hayo ya kwamba unaitumia au huitumii au ina faida au haina faida anzisha tena hoja nyengine tutaidiscuss nayo.
 
Daaaaah chief mkwawa kweli mwanateknolojia anatoa facts mwanzo mwisho ila hyu jestkilla anatukana tu sioni Hons zake, bora hta island, bavaria n.k walileta facts zilizoshiba na sio matusi, endeleeni wajomba discussions zenu ni valuable sana kwa sisi wavivu wa kufuatilia mambo.
 
mkuu kubishana na nyie ni tabu sana sababu hamjawahi kutumia android au hamfahamu similarities ya hivyo vitu, nitajaribu kukuelezea kiurefu zaidi kama utaelewa.

-Android hii ni kama bwalo au nyumba yenye vyumba vingi lakini unaweza kuingia kila chumba,

-ios hii ni kama jela au nyumba yenye vyumba vingi lakini huwezi kuingia kwenye kila chumba.

ukiwa na android utaweza kuhamisha mafile baina ya Apps moja na nyengine kwa urahisi, mfano naweza toa video toka folder la whatsapp kisha nikaihamisha hadi folder la alarm. ukiwa na ios hutaweza kuhamisha file baina ya folder la app.

hizo download manager unazosema zinadownload kwenye folder lake tu haziwezi kupeleka mafolder mengine hivyo tayari zinakuwa na limitation.

document 6 ni habari nyengine yenyewe ni file manager na download manager kwa pamoja, hizo app ulizotaja huwezi zifananisha na document 6, ukiwa na document 6 utadownload movie au youtube video kisha utaihamishia camera roll ili ikae. na wenzake kama kawaida. hizo app nyengine haziwezi.

compare na apps nyengine za ios document 6 ni more advanced sababu inabypass security za ios, ila compare na za android lets say ADM au es file explorer still nayo ni weak sababu inamiss essential features kama

-kuigawanya download vipande vipande ili idownload upesi upesi, hii ni kama idm, kwa android now pia zipo download manager zinafanya hivi, mfano adm, ucweb, videorder.
-kuipa process ya download special permission ili isibugudhiwe ukiclose app au ukifanya multitasking sana etc

na all in all tukirudi kwenye hoja, huwezi nunua iphone ukaacha android kwa kazi ya kudownload.

Kwahyo wanaonunua android wanapenda sana ku download au sie iOS ni kwamba tunajpendekeza kua na iphone au n kwamba ule ugonjwa wako ujapona na kama n hvo why apple kila siku ndio best seller wa products compare na android.???
 
Mimi nafikiri ingekuwa vyema kama iPhone zingewezeshwa kwanza kukaa na charge walau siku tatu zaidi ya wengine kwanza.kabla ya kufikiri itawezekana ktk magari.

Kuna android au smartphome yoyote inakaa na chaji siku 3 au ndio ule
Ugonjwa wa rangi nyeusi kulalamika bado upo
 
Jamaa umekuwa ukiweka uongo Mtupu humu , kusema document 6 ndo yenye uwezo wa kuhamisha file ni uongo 200%. Hapa nimekuwekea snap ya vdeo cache ikihamisha file kutoka kwake kwenda I downloader na kwenda vlc , pia unaweza kuiweka kwenye camera rolls it’s easy , yan mkuu inaonekana hujatumia iphone kabisa , angalia snap hizi attached
cb9eb67d7719cbfccb1ee2c550614784.jpg
079343a4ea3d7785c52eaf44dbd5a1f1.jpg
e22b0e3ad759fcf48e293ac963a14ae2.jpg

Ugonjwa wake bado ajapona
 
hujanionyesha kitu hapo, kwani video player ikiplay file inahamisha folder? si inacache tu ile video na kuiplay?

kuhamisha file baina ya folder na folder mfano wako ni huu.

-download file na hio downloader yako
-hamisha hilo file eka kwenye folder la app nyengine.

na hio air drop si adhoc? si unatumia pc hapo au vifaa viwili? yaani utumie pc kujibu hoja ya kuhamisha file na file manager?

Ulipofikia sasa unatafuta pa kutokea hata cupertino ujawaifika acha kelel nishasema android haiwez fanana na iOS
 
yap huwezi cheza video zote na for the first time wamesupport HIEF na HEVC kwenye ios 11 kitu ambacho kipo os nyengine miaka na miaka. inabidi tu ujifunze kuishi na video converter ukiwa na kifaa cha ios

Hapa ulitaka kusema nin shida ako unataka ios wafanane na mbwa wengine kitu ambacho Steve alikataaa af we kama rangi ya mkaa huna effect kwa hoja zako chakavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom